Daraja la New Selander litapunguza adha ya foleni katika barabara ya Ally Hassan Mwinyi

Daraja la New Selander litapunguza adha ya foleni katika barabara ya Ally Hassan Mwinyi

mkiluvya

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2019
Posts
809
Reaction score
729
1591521917287.png

Ujenzi wa Daraja la New Selander linalokatisha juu ya bahari jijini Dar es Salaam wafikia asilimia 35. Ujenzi wa daraja hilo lenye urefu wa kilomita 6.5 utagharimu $126.6M (TZS 293B), litakamilika mwaka 2021 na litapitisha magari 55,000 kwa siku.
 
Daraja la mashuwa Hilo walee wa obay&masaki watapeta hapo

Ova
 
Swali moja tu?
Je daraja Hilo litakuwa na tozo? Kama la Kigamboni

Ova
 
Hili daraja kwanini upande wa Osterbay wasingezidisha urefu mpaka kwenye ile kona ya balabala inayoelekea Coco beach linge-extend baharini kidogo na kuwa na Muonekano mzuri.
 
Back
Top Bottom