Ujenzi wa Daraja la New Selander linalokatisha juu ya bahari jijini Dar es Salaam wafikia asilimia 35. Ujenzi wa daraja hilo lenye urefu wa kilomita 6.5 utagharimu $126.6M (TZS 293B), litakamilika mwaka 2021 na litapitisha magari 55,000 kwa siku.
Hili daraja kwanini upande wa Osterbay wasingezidisha urefu mpaka kwenye ile kona ya balabala inayoelekea Coco beach linge-extend baharini kidogo na kuwa na Muonekano mzuri.