Daraja lazamishwa baharini huko Baltimore- Marekani

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
Daraja langu la kwendea kula bata Fogo de Chao , The Bygone na viwanja vya Baltimore. Imeenda hiyo.

Baba Hunter kasema atajenga kubwa zaidi.
 
🇺🇸🇺🇦🚨‼️ The captain of the ship that hit the bridge in Baltimore is Ukranian.

Is he upset with the aid delay? Or just unlucky.
doh muhindi anakula USD1200 kwa mwezi mzungu anakula USD10200 kwa mwezi kama wanavyofanya uku kumbe na wao wanatendewa vivyo hivyo
 
Wabongo bwana wape picha story watamalizia wenyewe. Taarifa kuwa meli ilizingua ilishatolewa mpema sema cost guard walizingua walitakiwa watume Tag boats kuidhibiti irudishwe bandarini wafanye repair kwanza badala ya kuacha bomu litembee majini
 
Kinachonisikitisha mimi hilo daraja ndani ya mwezi litakuwa limerudi ktk hali yake wakati sisi huku kwenye bara la giza watu wanakaa vikao kulipana posho kujadili ujenzi wa madaraja na hela zinatoka lakini hayajengwi na hata yakijengwa hayafananii thamani ya hela zilizotoka.
 
Na wenyewe wapambane sasa na hali yao. Maana hakuna namna yoyote ile ya kuwasaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…