Acha umbea wewe kwani Darasa kakutendea nini? Uzi kila sehemu unaanzisha wewe kumponda Darasa kwani kakufanyia nini?Huo ndo utetezi wako? Poor you
Jaman msameheni amejifunzaAkaunti yako inaonesha wewe ni mwanaume lakini mbona una mambo ya kike sana? Unawezaje kumuandama mwanaume mwenzako jamiiforums kila uzi unamuongelea yeye tu kwani amekutendea nini?
Nenda kapumuliwe kisogoni kama vipi
[emoji23] [emoji23]Jaman msameheni amejifunza
Wewe unajua biti ni mali ya nani kati ya prodyuza na msaniii?hajanitendea kitu ila kanichukiza kwa kitendo chake cha wizi. wizi katika serikali ya hapa kazi tu hauna nafasi
Mimi ni kidume na huwezi kukuta namuandama mwanaume mwenzangu kwa upuuzi kama huo.na akaunti yako inaonyesha wewe ni mwanaumke sijui huku umefuata nini?
Wewe sio uliyeleta mada labda kama una akaunti mbili jfMimi mbona sijaomba msamaha kwa MTU?
Wewe unajua biti ni mali ya nani kati ya prodyuza na msaniii?
Alafu nyimbo ngapi biti zinaendana? Diamond platnumz ameimba nyimbo ina vionjo vya Saida Karori kwenye biti mbona hapakua na tatizo sasa kama Darasa katumia biti ina vionjo vinavyofanana na wimbo mwingine tatizo nini?
Yaani kijana unawezaje kumuandama kijana mwenzako mtafutaji kama wewe?
Sasa unajuaje kama Darasa hana makubaliano na mtu?sidhani kama diamond alitumia vionjo hivyo bila makubaliano yoyote, na ndio maana diamond mwenyewe aliwahi kutaja asilimia ya mapato ambayo saida ameyapata
Mtoa mada acha uongo!usemayo sio kweli..acha chuki.