BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Na Mwaka huu lazima afunge,si umesikia wameanza kuanguka wenyewe majukwaani2016 tulifunga mwaka na Darasa. Afanye mambo basi.
Haishangazi kwako kuwa msukule wa Jiwe.Na Mwaka huu lazima afunge,si umesikia wameanza kuanguka wenyewe majukwaani
Jiwe anajua dawa ya mabishoo ni kuwa bishoo zaidi yao,anawakimbizaHaishangazi kwako kuwa msukule wa Jiwe.
Amerudi mida ya wanga 😂Na Mwaka huu lazima afunge,si umesikia wameanza kuanguka wenyewe majukwaani
ahhha hhahha na aliwahi kusema mwenyeweAmerudi mida ya wanga 😂
Kumantain ni kazi kubwa , sasa ngoja tuone kama kimya chake kina mshindo?Kupitia account yake kwenye mtandao wa Instagram usiku wa leo amepost video yake ya kwanza.
Watu kibao wanashangilia ujio wake.
Wasanii wenzie tunafurahi kwa ujio wake, nafikiria kurekodi nae nyimbo akikaa sawa.
View attachment 962299
Alikuwa KiwalaniA mult billion dollar question, alikua wapi?
Watu gani?!Alishindwa ku meintain standard kesha pitwa na wakati watu wamemsahau