Darasa Huru: Ufundi Laptop (Beginners To Advanced) PART 2 EP01: Tuijue Laptop Na Tuifungue Kisha Tuifunge

Asante Mkuu Umenifumbua Pia, Nilikuwa Natumia Petrol Kwenye Kujua Shorted IC.

Asante Kwa Hili
 
Habar mwalimu wa computer
naomba kujua njia ya kufanya Ili desctop yangu isile umeme
shukrani
 
Nimetimiza wajibu wangu katika uzi huu nimejifunza mengi sana,
Ngoja na mm niulize la kwangu
PC hp elite book 6930p touch
Bluetooth haifanyi kazi tatizo ni nini
Pembeni kulia kwa chini ipo alama ya bluetooth
Kwenye screen ya pc
Lakini haisomi kitu nipeni maujanja hapa ndio kwanza naanza kutumia PC..
 
Mkuu mimi laptop yangu kioo kinawaka ila kina rangi rangi ya orange inatokea kwenye screen tatizo linaweza kuwa ni nini
 
Ahsante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…