A
Anonymous
Guest
Kitendo Cha Shule za msingi ndani ya manispaa ya Urambo mjini mkoani Tabora kuwaruhusu wanafunzi wa madarasa ya la Saba kutoka shule Muda mbaya kuanzia saa mbili mpaka saa tatu usiku kunawaathiri kisaikolojia na kuchangia kushuka kwa uelewa kutokana na mzigo mkubwa wa masomo bila ya chakula kutoka saa 1 asubuhi mpaka saa saa mbili usiku.
Hili janga limechangia pia baadhi wanafunzi wa kike kuingia kwenye vitendo viovu kutokana ushawishi wa bodaboda na vitendo vya unyanyasaji kijinsia
Hili janga limechangia pia baadhi wanafunzi wa kike kuingia kwenye vitendo viovu kutokana ushawishi wa bodaboda na vitendo vya unyanyasaji kijinsia