Darasa la kupigilia pamba kijanja

Bitoz ni kweli wakati mwingine Rangi ya Mwili inakataa Mavazi ya Rangi fulani au ni upangiliaji tu unaweza kupambaika????
 
Bitoz ni kweli wakati mwingine Rangi ya Mwili inakataa Mavazi ya Rangi fulani au ni upangiliaji tu unaweza kupambaika????
Ni kweli mkuu
Km wewe ni mweusi epuka kuvaa nguo zenye rangi ya mng'ao
 
Mtu kapiga shati kubwaa la mauamaua, tai nyekundu na chini kapiga jeans imechanwachanwa na makubazi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wadau hivi tisheti nyuesi plain ambayo Haina kola huwa inamatch na suali za aje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…