Darasa la kupigilia pamba kijanja

Nilitarajia wadau kusema suruali Rangi flani, inaendana na shati Rangi ipi.
Ukivaa soksi iendane na Rangi ya suruali
Uwezi kuvaa suti na soksi nyeupe
Ukivaa casual saa iwe leather au metal hasa iwe platinum
 
somo zuri mie cha kuongezea ni umri,vaa kulingana na umri ulionao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…