karibu sana uchangie na mada
kuna darasa la mapenzi jamani linaanza leo
lichachukua siku kumi ni kila siku saa 0100 GMT+0 AU UK
HOURS
NI JINSI YA KUMKAMATA MPENZI WAKO ANAYEKUDANGANYA
AU NJIA ZA KUJUA KAMA ANATAKA KUKUDANGANYA
PIA HAPA KILA HUO MUDA www.lifeofmshaba.com
nenda tafuta love and passion class ni kuanzia leo
na ukisha mkamata then what next,......hapa nahisi ndoa,uchumba,wapenzi kibao wataachana
na ukisha mkamata then what next,......hapa nahisi ndoa,uchumba,wapenzi kibao wataachana
hii safi nilikuwa natafuta muda mrefu
je darasa linaendelea?
wee zama kwenye link