Darasa la mahusiano jinsi ya kuwakamata wadanganyifu katika mapenzi

kupoteza tu muda huko na kuanza kutafuta presha na bp na mwisho kufa kabisa..eti kujifunza kumkamata mpenzi asiye mwaminifu, so what will u gain??,watu wasanii bwana anaweza kucheat na usimjui, bora ujifunze njia za kuboresha mahusiano na mahabuba wako kuliko kuchokonoa mambo mengine yasiokuhusu au badala yake fanya mikakati ya maendeleo!
 

nimeipenda japokua mimi ni kichanga wa JF vipi nitalipata ilo darasa la mapezi.Je ni kwa mtandao wa JF?ningependa kufahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…