Darasa la nne la zamani.

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,909
Reaction score
2,115
Wandugu, mm nmezaliwa enzi za mwinyi kipindi ambacho darasa la nne la zamani linalosifiwa na babu zetu halikuwepo, sifaham ubora wake kiujumla, ila kila mzee analisifia kwamba ni bora sana kiasi kwamba wengine wameanza kulifananisha na shahada ya uzamivu (masters), naombeni sifa zake na historia yake na uwezo wa hilo darasa la nne la zamani kwa anaye faham.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…