Darasa la saba B awanyima usingizi wanaojiita wasomi pale jangwani

Huyu ajiita injinia aliyesomea DIT ,huyu sijui wakili msomi huyu CPA,yule sijui nani sijui ila jana wamelala na viatu.

Mzee Magoma weka namba ya mpesa tuanze kukuchangia,Wewe ni generation Z wa kizazi cha zamani,
Usiamini kila kitu mkuu huenda kuna mchezo zaidiya tulichokisikia
 
This is real mkuu,mahakama yetu haiwezi kutumika kutengeneza drama,najua jangwani kuna wasanii ila hawajafikia level ya kuigiza mahakamani
 
Huyu ajiita injinia aliyesomea DIT ,huyu sijui wakili msomi huyu CPA,yule sijui nani sijui ila jana wamelala na viatu.

Mzee Magoma weka namba ya mpesa tuanze kukuchangia,Wewe ni generation Z wa kizazi cha zamani,
Ukitaka kujua kama mission accomplished, angalia leo ukiingia mitandao yote ya kijamii ni ishu ya kesi ya Yanga, ukiingia redioni ni ishu ya kesi ya Yanga, magazeti na watu mitaani wanajadili stori ya Yanga na huyo mzee. Halafu waanzishi wa hizi stori ni watu wawili pekee ni Milard na Edo. Utafikiri ndio waliyohudhuria hiyo kesi mahakamani jana. Eti kesi tokea mwaka 2023 halafu raia hakuna anayejua ndio iibukie jana. Ukifungua akili unagundua kuwa ni michezo yakuwatoa watu kwenye reli.
 
Reli ipi,what was so special kwa wao kuzusha,thats real bro,yanga kuna vilaza pale,hawajasajiri katiba yao
 
Jana kuna waziri alikiri hadhalani kuwa uchaguzi huwa sio wa haki na atamfundisha raisi wa sasa namna ya kushinda uraisi kwavile yeye ni mzoefu wa hayo mambo. Mpaka hapo mjadala umehamishwa kwa kiwango kikubwa na hilo ndio linapokuja swala la u special wa kuhamisha. Kumbuka tu Tanzania hatuna mamlaka kamili zinazojitegemea. Polisi, mahakama vyote vinacheza ngoma ya mtawala mkuu. Hivyo hata hili la Yanga nakuhakikishia ni upepo upitao.
 
Screenshot_20240717_151638_WhatsApp.jpg
 
I dont think so watanzania wala hawana shida na kauli za
wanasiasa hata wangeitwa mbwa,uchaguzi ukifika kura zote wanachukua tulivyo wajinga
 
Jaribu kufanya reason moja tu mkuu..
1) kesi ilikuwa ni ya mwaka 2022 na hukumu ikatoka mwaka 2023 kwa kinachovumishwa, je inakuingia akilini itoke kesi kama hiyo halafu hakuna mtu mmoja aliyeweza kujua mpaka leo hii kwa mpira wetu wa Simba na Yanga hili jambo liwe siri kiasi hiki? Hadi hukumu nayo inatolewa kuwe na usiri wa mwaka mzima hadi inafika siku ya jana ndio watu wawili tu wanakuja kupost mtandaoni kwavile ni watu wenye mtaji wa kuaminika na watanzania na wana mtaji wa followers. Sasa je hao walioripoti jana source waliipatia wapi taarifa? Na ilikuwaje wakapata taarifa hao hao wawili tu wakati kesi ina miaka na hakuna aliyejua kinachoendelea?
 
Labda kuna kamgao wanadai.!!
 
Back
Top Bottom