Serikali imeamua kuanzisha mfumo mpya wa utahini wa elimu ya msingi ambapo masomo yote sasa, mpaka Hisabati itakuwa ni mtihani wa majibu ya kuchagua. Wataalamu watakaoandaliwa katika mfumo huu watakuwa ni wataalamu wa aina gani? Kwa maana kuanzia kidato cha 1 watapata shida kuweza kukokotoa hesabu kwani hawana msingi imara wa somo hilo kwani aina hii inasababisha mwanafunzi kuotea jibu. Tutafika?