T Taso JF-Expert Member Joined Jun 12, 2010 Posts 2,507 Reaction score 2,412 Jul 2, 2010 #1 Kundi la watu waliokaa umbali sawa sawa limezunguka mviringo kwenye jamvi la duara. Mtu wa nne anatazamana mbele yake na mtu wa kumi na mbili. Jamvi lina watu wangapi?
Kundi la watu waliokaa umbali sawa sawa limezunguka mviringo kwenye jamvi la duara. Mtu wa nne anatazamana mbele yake na mtu wa kumi na mbili. Jamvi lina watu wangapi?