Darasa la4 wafanyishwa mtihani wa kifaransa bila kufundishwa hata mara moja.

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
mods iacheni hapa hapa. mpwa wangu karudi nyumbani na kulalamika kuwa wamefanya mtihani wa darasa la 4 wa kifaransa wakati hawajawahi kusoma hata mara moja. hivi wakifeli tutawalaumu hawa watoto? kwanini tumeamua kuwaachia wapuuzi waharibu elimu?
 
Jibu analo Mulugo.! Tumuulize, hii BRN ni mpaka kieleweke.
 
BRN oyeeee, mtoto hajui kiswahili fasaha, kingereza ni cha kubabaisha, kifaransa ndo cha kufanyia mtihani. Ukizichanganya hizo luga, mtoto atakuwa anaongea kiyunani atakapomaliza std 7.
 
Big Result Now!! watoto watakoma! ngoja darasa la pili wapigwe pepa ya mechanics wakome na Mulugo.
 
mods iacheni hapa hapa. mpwa wangu karudi nyumbani na kulalamika kuwa wamefanya mtihani wa darasa la 4 wa kifaransa wakati hawajawahi kusoma hata mara moja. hivi wakifeli tutawalaumu hawa watoto? kwanini tumeamua kuwaachia wapuuzi waharibu elimu?

Acha kutuzingua wewe. Hivi kifaransa unakijua kweli??

Nani mwalimu mwehu wa kuwaletea watoto mtihani wa lugha wasiyojua wala kuisoma ili waifanyie mtihani???

Toa reliable source ya hiyo habari yako please ili tuipime hapa jukwaani.
 
We jamaa unayeharisha hapo juu,hebu nipe namba yako nkupigie uongee na mpwa wangu hapa .
 
khaaaa i guess mtahiniwa kapewa mtihani wa kiingereza tu ila hakuelewa kitu akadhani ni french
 
Acha kutuzingua wewe. Hivi kifaransa unakijua kweli??

Nani mwalimu mwehu wa kuwaletea watoto mtihani wa lugha wasiyojua wala kuisoma ili waifanyie mtihani???

Toa reliable source ya hiyo habari yako please ili tuipime hapa jukwaani.
naunga hoja weka ushahidi hapa uone JF itakavyo lifanyia kazi suala hili
 
mods iacheni hapa hapa. mpwa wangu karudi nyumbani na kulalamika kuwa wamefanya mtihani wa darasa la 4 wa kifaransa wakati hawajawahi kusoma hata mara moja. hivi wakifeli tutawalaumu hawa watoto? kwanini tumeamua kuwaachia wapuuzi waharibu elimu?

Mtatoa wapi watu wa kuwaita 'vilaza'lugha wanayotumia sana 'wasomi' wengi wanapotaka tuwape attention ama tuwasikilize wao tu iwapo kila mtoto atapata elimu vizuri?Laazima hizo F ziwepo ili watoto wa wajanja waonekane wana vipaji maalum!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
BRN oyeeee, mtoto hajui kiswahili fasaha, kingereza ni cha kubabaisha, kifaransa ndo cha kufanyia mtihani. Ukizichanganya hizo luga, mtoto atakuwa anaongea kiyunani atakapomaliza std 7.

Umenena kweli mwana JF
 
Taratbu mzee kwan shule gani hyo na ipo mkoa gan labda 2tajadili vizur
 
BRN oyeeee, mtoto hajui kiswahili fasaha, kingereza ni cha kubabaisha, kifaransa ndo cha kufanyia mtihani. Ukizichanganya hizo luga, mtoto atakuwa anaongea kiyunani atakapomaliza std 7.

Kifaransa siyo somo la lazima kwa hiuo akifaulu au akifeli it does not make difference.
 
naunga hoja weka ushahidi hapa uone jf itakavyo lifanyia kazi suala hili
mpwa wangu kaja na marafki zake wananambia wamefanya pepa ya kfaransa na jana waliambiwa wajiandae leo watafnya hyo french. Ni mtihan wa taifa
 
Back
Top Bottom