Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
mods iacheni hapa hapa. mpwa wangu karudi nyumbani na kulalamika kuwa wamefanya mtihani wa darasa la 4 wa kifaransa wakati hawajawahi kusoma hata mara moja. hivi wakifeli tutawalaumu hawa watoto? kwanini tumeamua kuwaachia wapuuzi waharibu elimu?
Hiyo ndio BIG RESULT NOW.Darasa la 2 watafanya wa Kiarabu na darasa la 6 watafanya wa Kijerumani.
naunga hoja weka ushahidi hapa uone JF itakavyo lifanyia kazi suala hiliAcha kutuzingua wewe. Hivi kifaransa unakijua kweli??
Nani mwalimu mwehu wa kuwaletea watoto mtihani wa lugha wasiyojua wala kuisoma ili waifanyie mtihani???
Toa reliable source ya hiyo habari yako please ili tuipime hapa jukwaani.
mods iacheni hapa hapa. mpwa wangu karudi nyumbani na kulalamika kuwa wamefanya mtihani wa darasa la 4 wa kifaransa wakati hawajawahi kusoma hata mara moja. hivi wakifeli tutawalaumu hawa watoto? kwanini tumeamua kuwaachia wapuuzi waharibu elimu?
BRN oyeeee, mtoto hajui kiswahili fasaha, kingereza ni cha kubabaisha, kifaransa ndo cha kufanyia mtihani. Ukizichanganya hizo luga, mtoto atakuwa anaongea kiyunani atakapomaliza std 7.
BRN oyeeee, mtoto hajui kiswahili fasaha, kingereza ni cha kubabaisha, kifaransa ndo cha kufanyia mtihani. Ukizichanganya hizo luga, mtoto atakuwa anaongea kiyunani atakapomaliza std 7.
taratbu mzee kwan shule gani hyo na ipo mkoa gan labda 2tajadili vizur
mpwa wangu kaja na marafki zake wananambia wamefanya pepa ya kfaransa na jana waliambiwa wajiandae leo watafnya hyo french. Ni mtihan wa taifanaunga hoja weka ushahidi hapa uone jf itakavyo lifanyia kazi suala hili
khaaaa i guess mtahiniwa kapewa mtihani wa kiingereza tu ila hakuelewa kitu akadhani ni french