Darasa leo 'utapafomu' wapi, After school bash au EATV awards?

samsun

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Posts
7,386
Reaction score
5,965
Leo mjini Dar kuna matukio mawili ya burudani,moja ni la After scul bash ya Clouds media group litakalofanyika Eskape one na lingine ni la EA TV awards litakalofanyika Mlimani city.

Katika kupitia baadhi ya watoa burudani nimekuta kuna majina yapo huku na kule,nikajikuta najiuliza hivi hawa wataenda wapi kutoa burudani..............Kwa uchache yupo Vanesa Mdee na HUYU MSANII ALIYEISHIKA TZ KWASASA DARASA MWENYE WIMBO UNAO HITI UNAOITWA MUZIKI,JE ATAENDA WAPI KUPAFOM............. Na wewe shabiki utaenda wapi kuburudika........Na unavyoona wewe wapi watawafunika wenzao kwa kujaza ukumbi..........???

Hawa hapa ndio baadhi ya wasanii watakaopafom After sculbash.

Na hawa hapa ndio watakaopafom EATV AWARD.

EATVAwards_2016 (@eastafrica_television_2016tz) • Instagram photos and videos
 
Kwan mda mmoja?
Sijaona bango linaloeleza muda wa shoo.
After sculbash inaanza Saa 4 Asubuh........So ana mda mzuri wa kupafom huku na huku
Inaanza saa 4 kwa vitu vingine,lakini shoo vinafanyika usiku.
After scul bash inaisha saa mmoja na jinsi clouds wanavyoitangaza ni mahususi kwa wanafunzi waliofunga shule ila eatv awards naamini ni mambo ya kikubwa hadi kuchele
Mkuu kama una tangazo la muda hebu tuwekee,maana mimi nataka nijue Darasa nitamkuta wapi.
show hizo ni muda tofauti halafu kuna moja ya wanafunzi nyingine ya wakubwa........
Lakini wanafunzi wa kwenda kwenye burudani sio wa primary,ni wale wakubwa tena kwa sasa shule zimefungwa,nisaidieni mwenye kuweza kuweka bango la muda ili nijue haswa huyu Darasa nitamkuta wapi.
 
na kesho anapiga show nyingine mbagala zakhem
 
na kesho anapiga show nyingine mbagala zakhem
Ukiona msanii anapiga shoo hadi kwenye baa ujue anapoelekea sio darasa
Kumbuka afande sele alikua anapiga shoo hadi mtaa kwa mtaa akachokwa haraka
Ndio anapoelekea. Darasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…