Darasa nae aanza kununua views Youtube!

Ngoma ya darassa ni nzuri, na ilipokelewa vizuri na wengi tangu siku ya kwanza ilipotoka. Darassa toka kitambo mziki alikua anaujua, rejea ngoma kama sikati tamaa. ila kwa mtazamo wangu jamaa sokoo kaliteka kwa ufasaha kuanzia kama utanipenda, kuja too much na sasa muziki. Ila nimeamini management nzuri ni kitu muhimu sana kwenye career ya muziki, jamaa tangu apate management mpya matunda yanaonekana wazi
 
Kwahiyo mkuu unataka kusema wakina Mondi wameshaacha mchezo wa kununua au?? maana Kokoro nayo ni siku ya 5 leo lakini ina 665k
Watu wameshtukia mchezo wao wanasubiri upepo utulie
 
Kajiandae ina muda gani na views ngapi tulinganishe na muziki wa Darassa kisha na Kokoro wa Mavoko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…