wacha maneno weka muziki.Tunasemaga chambua kama karanga uwiiiiiii
Nisaidie kumwambia mwny hii thread kua "Vitu vingne havitakagi ujuaji, utakuta unawatandikia watu jamvi......"Kumuelimisha chizi utajipa kazi ...
Weka muzikiAcha blabla
We wont stopWanatamani tupotee kwenye map, tunapeleka gemu to the top top.
Ukiwa sad, ukiwa happy weka muziki.We wont stop
Huo Wimbo Uwewekwa Juu Na Clouds Maana Walikuwa Wanaupiga Kila Baada Ya Dk 2 - Kwasababu Walikuwa Wana Biashara Nae,
- Fiesta
- Salama Kondom
- After Skul Bash
Hayo Matamasha Ya Clouds Zimembeba Sana.
Kizuri siku zote hujiuza tu,hata kama kitafanyiwa promo vipi,kibay kibaya tu.Huo Wimbo Uwewekwa Juu Na Clouds Maana Walikuwa Wanaupiga Kila Baada Ya Dk 2 - Kwasababu Walikuwa Wana Biashara Nae,
- Fiesta
- Salama Kondom
- After Skul Bash
Hayo Matamasha Ya Clouds Zimembeba Sana.
Ukitaka kucheza cheza muziki.Kizuri siku zote hujiuza tu,hata kama kitafanyiwa promo vipi,kibay kibaya tu.
Huna mchuzi no excuse.....wat do u expect??
Sio Simba Sio Chui sio Mamba ... haaaaaaaaaaaa!!!!,wacha maneno weka muziki.
Ngozi yangu inatosha kujigamba.Sio Simba Sio Chui sio Mamba ... haaaaaaaaaaaa!!!!,
kazi juu ya kazi yani bumper to bumper!!!Ngozi yangu inatosha kujigamba.
Huna mchuzi no excuse.kazi juu ya kazi yani bumper to bumper!!!
Na tunasubiri muziki!!!!!!ACHA MANENO WEKA MUZIKI.
Ukiwa chini ukiwa juu weka muziki.Na tunasubiri muziki!!!!!!