Kalamu Yangu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 1,107
- 1,056
Ngoma ilikuwa juu sana na ndiyo iliyompa hiyo michongo.Huo Wimbo Uwewekwa Juu Na Clouds Maana Walikuwa Wanaupiga Kila Baada Ya Dk 2 - Kwasababu Walikuwa Wana Biashara Nae,
- Fiesta
- Salama Kondom
- After Skul Bash
Hayo Matamasha Ya Clouds Zimembeba Sana Kiumaarufu Na Kukuza Jina - Mfukoni Sijui Maana Clouds Mnawajua.
Huyu jamaa kiukweli nilikuwa nasikia tu jina lake na ni msanii wa rap ila kama ingetokea tukapishana wala simjui kama ambavyo hanijui. Hata ungeniambia kaimba wimbo upi ningeshindwa kukutajia. Nawafahamu kina Godzilla, FA, Fid Q, etc. Sasa kama ilivyo kwa wengine naona nyota ya Jaha imemdondokea huyu msanii. Niliufahamu wimbo kupitia ile clip ya wale jamaa waliopagawa hadi kuachia usukani. Baada ya hapo nikaanza kumsikia kwenye vyombo vya habari. Nikasiliza na wimbo wake ila bado sikuona kipya.
Sasa ikawa kila nakopita nausikia huu wimbo. Boda boda, redio na tv, kwenye biashara za watu. kwenye simu za watu, n.k. Kiukweli nami taratibu nikaona unaanza kuniteka. Nikaupenda. Umekuwa wimbo wa taifa. nilipita duka moja kuna jamaa alikuwa kauweka huu wimbo na unajirudia rudia. Kwa muda niliopita pale ni kuwa ulishajirudia kama mara kumi hivi.
sasa baada ya kipindi hiki cha mpito we jamaa utafanyaje ukae hapo juu? Kwa sasa usichekelee sana. Anza kujiuliza utafanya nini? Kama ni matatizo basi ndio hayo umejitakia. Jipange tena
Wewe ni mwoga,usiogope.Huyu jamaa kiukweli nilikuwa nasikia tu jina lake na ni msanii wa rap ila kama ingetokea tukapishana wala simjui kama ambavyo hanijui. Hata ungeniambia kaimba wimbo upi ningeshindwa kukutajia. Nawafahamu kina Godzilla, FA, Fid Q, etc. Sasa kama ilivyo kwa wengine naona nyota ya Jaha imemdondokea huyu msanii. Niliufahamu wimbo kupitia ile clip ya wale jamaa waliopagawa hadi kuachia usukani. Baada ya hapo nikaanza kumsikia kwenye vyombo vya habari. Nikasiliza na wimbo wake ila bado sikuona kipya.
Sasa ikawa kila nakopita nausikia huu wimbo. Boda boda, redio na tv, kwenye biashara za watu. kwenye simu za watu, n.k. Kiukweli nami taratibu nikaona unaanza kuniteka. Nikaupenda. Umekuwa wimbo wa taifa. nilipita duka moja kuna jamaa alikuwa kauweka huu wimbo na unajirudia rudia. Kwa muda niliopita pale ni kuwa ulishajirudia kama mara kumi hivi.
sasa baada ya kipindi hiki cha mpito we jamaa utafanyaje ukae hapo juu? Kwa sasa usichekelee sana. Anza kujiuliza utafanya nini? Kama ni matatizo basi ndio hayo umejitakia. Jipange tena
Ulikua unarudiwa rudiwa kwakua ni mbaya au mzuri?Huo Wimbo Uwewekwa Juu Na Clouds Maana Walikuwa Wanaupiga Kila Baada Ya Dk 2 - Kwasababu Walikuwa Wana Biashara Nae,
- Fiesta
- Salama Kondom
- After Skul Bash
Hayo Matamasha Ya Clouds Zimembeba Sana.
Hii hoja inajibiwa na kila verse ya huo huo wimbo wa maisha na muziki.Huyu jamaa kiukweli nilikuwa nasikia tu jina lake na ni msanii wa rap ila kama ingetokea tukapishana wala simjui kama ambavyo hanijui. Hata ungeniambia kaimba wimbo upi ningeshindwa kukutajia. Nawafahamu kina Godzilla, FA, Fid Q, etc. Sasa kama ilivyo kwa wengine naona nyota ya Jaha imemdondokea huyu msanii. Niliufahamu wimbo kupitia ile clip ya wale jamaa waliopagawa hadi kuachia usukani. Baada ya hapo nikaanza kumsikia kwenye vyombo vya habari. Nikasiliza na wimbo wake ila bado sikuona kipya.
Sasa ikawa kila nakopita nausikia huu wimbo. Boda boda, redio na tv, kwenye biashara za watu. kwenye simu za watu, n.k. Kiukweli nami taratibu nikaona unaanza kuniteka. Nikaupenda. Umekuwa wimbo wa taifa. nilipita duka moja kuna jamaa alikuwa kauweka huu wimbo na unajirudia rudia. Kwa muda niliopita pale ni kuwa ulishajirudia kama mara kumi hivi.
sasa baada ya kipindi hiki cha mpito we jamaa utafanyaje ukae hapo juu? Kwa sasa usichekelee sana. Anza kujiuliza utafanya nini? Kama ni matatizo basi ndio hayo umejitakia. Jipange tena
Dear God ya Kala Jeremiah huijui?1.Sikati tamaa
2.Ukipenda Hauoni
3.Nishike mkono
4.Kama utanipenda
5.Too much
6....
7.....
Muziki imekuja kulipa kule kupuuzwa kwote tulikompuuza licha ya ngoma kali alizozitoa....
Msalimieni Ney wa Mitego maana nahisi ni mwanamuziki ambaye ni kama anapokea kikubwa zaidi ya anachotupa...
Mwambieni Abdukiba ana bahati kufahamika maana naona hastahili kufahamika kama mwanamuzi....
Wapo wengi watakuja kuchukua mafao yao kama malipo ya kupuuzwa kwao licha ya kuwa na tungo kali...
Wanamuziki wafuatao watakuja kutoa nyimbo kubwa hadi tutaitana kama tulivyoitana kwa ajili ya Darassa.
1.Jux
2.Rama Dee
3.Belle 9
4.G nako
5.Fid q
6.Ditto
7.Kalla Jeremia
8.Kassim Mganga
Na wengineo japo katika kundi hilo kuna watakaopotea bila kupewa heshima yao na kupata bahati ya Mtende kama Suma Lee na hakunaga akachukua pensheni akasepa...RIP Ngwair hakubahatika.
Kwa Kuwa Walikuwa Na Biashara Naye, Nisome Tena Hapo Kwenye Komenti.Ulikua unarudiwa rudiwa kwakua ni mbaya au mzuri?
hiyo ya ruby mbona hatuijui? Lakini ya darasa niko songea huku clouds haipo lakin kila kona ya mji inasikikaClouds Wana Uwezo Wa Kugonga Ngoma Fulani Kila Wakati ( Kama Jingo ) Kwa Kuifosi Mpaka Ikapokewa Na Media Nyingine . Mfano Ni Wimbo Wa Ruby - Mapenzi ( Na Yule )
Jamaa kipindi hicho alikuwa anakitu cha kuelimisha jamii nadhani sasa hivi anaburudisha jamiiDarasa mm napendaga nyimbo ya Nishike Mkono siku zote. Kwanza ilikaaga km ringtone yangu mwaka mzima mpk kila mtu karibu yangu alinijua kwa identity hyo ya ringtone.
Ila wimbo huu wa mziki nliupenda mwanzo na nmeshauchoka
Nadhani hujanielewa bado! kwa hit song hiyo ya darassa haikuhitaji promo kubwa,yenyewe tu nyimbo huchoki kuisikiliza,hata mtangazaji anajikuta ana iplay mara nyingi bila kutegemea.sasa msanii anatoa nyimbo,ambayo ukiisikiliza mara moja tu,tayari huna hamu nayo kuisikiliza tena,hata akipigiwa promo vipi bado anakazi kubwa ya kushawishi mashabiki.Endelea Kujidanganya Kuna Wasanii Wa Kutengenezwa Na Ndio Maana Hata Clouds Wana Uwezo Wa Kutengeneza Msanii Yeyote
- Walimtengeneza Ruby ( Ingawa Anajua Kuimba ) Alivyowazingua Fasta Wakamtengeneza Nandy
- Hata Mc Pilipili Ni Comedian Wa Kuchonga
Mwambie wewe mkuu labda atakuelewa! kitu kikiwa kizuri chenyewe kinajiuza,hata hao mafahari wawili wanaotamba kwenye bongo flavour kwa sasa,walitoa bidhaa nzur,zikawashawishi mashabiki.mfano wa bidhaa zao Number one,Kamwambie,Mwana,Salome,Aje,n.k.z,ukizisikiliza huchoki.so hawakuhitaji promo kubwa sanaHiyo ngoma imetoka baada ya fiesta........radio nyingi tu mbona zilikuwa zinapiga? Ngoma ikiwa mzuri hata madj na presenters watalazimika kuipiga tu....binafsi siku ya kwanza kutoka niliisikia jioni east Africa radio na darasa hajawahi kutoa ngoma mbovu ila hii ilikuwa timing ya bifu ya dimpo na mond ikaipaisha zaidii
Sio kweli????? Mbona mchomvu wameshindwa? Hii ngoma ya muziki inajiuza yenyewe...huku kijijini kwetu rombo clouds fm haishiki kabisa lakini ngoma inagongwa kilazima kigangstaEndelea Kujidanganya Kuna Wasanii Wa Kutengenezwa Na Ndio Maana Hata Clouds Wana Uwezo Wa Kutengeneza Msanii Yeyote
- Walimtengeneza Ruby ( Ingawa Anajua Kuimba ) Alivyowazingua Fasta Wakamtengeneza Nandy
- Hata Mc Pilipili Ni Comedian Wa Kuchonga
Umetumia kigezo dhaifu sana.Huu wimbo ni mzuriKwa Kuwa Walikuwa Na Biashara Naye, Nisome Tena Hapo Kwenye Komenti.
Dear God ya Kala Jeremiah huijui?
Umenena mkuu. Kuna wasanii ambao wanaudai muziki. Darasa alikuwa mmoja wao1.Sikati tamaa