Darasa, utafanyaje ili uendelee kukaa hapo juu?

Umenena mkuu. Kuna wasanii ambao wanaudai muziki. Darasa alikuwa mmoja wao
Kabisa mkuu h !kwa mfano msanii wetu wa muziki wa afro regae jhiko man anavyoheshimika nje lakini hapa hatumtambui
 
unataa jujimbia na hauna break???? wat du Yu expect??
 
Dreamboy watu wamechoka Na blah blah panga poi,maisha magumu,pesa haizinguki weka muziki tucheze,nchi ngumu, sijui wa viwanda Au Ruanda hatutaki maneno ya kanga
nyimbo za nyuma ni nzuri mno, tofauti hii misitari iliyoungwaungwa
 
nyimbo za nyuma ni nzuri mno, tofauti hii misitari iliyoungwaungwa

Mkuu Wacha jamaa apande chati maana wakati wake umefika.Hiyo mistari ya kuunga unga ndio inauza Na inakubalika.
 
darasa nyimbo zake zote ziko mia [HASHTAG]#ukiskiliza[/HASHTAG] ule wimbo wake wa sikati tamaa jamaa anasimulia jins alivyohustle , mchz hajabahtisha kufka hapa alipo sasa, kikubwa mm naamn darassa anakipaj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…