Msomaliii Senior Member Joined Jul 24, 2018 Posts 197 Reaction score 264 May 19, 2020 #41 Hap Mad Max said: Nafaka upo vizuri katika uhandishi wa habari. Ebu tumia kipaji chako iki. Pili, Darasa ni mmoja ya best musician waliowahi kutokea Tanzania. Alipotea ila naona anaanza kurudi. Yote 9 kumi jamaa akubali kwamba alitumia Poda. Click to expand... Hapana mkuu nimeona hiyo interview hakuna sehemu darasa amekubali aliwahi kutumia unga.
Hap Mad Max said: Nafaka upo vizuri katika uhandishi wa habari. Ebu tumia kipaji chako iki. Pili, Darasa ni mmoja ya best musician waliowahi kutokea Tanzania. Alipotea ila naona anaanza kurudi. Yote 9 kumi jamaa akubali kwamba alitumia Poda. Click to expand... Hapana mkuu nimeona hiyo interview hakuna sehemu darasa amekubali aliwahi kutumia unga.