Darassa, Diamond wanarushiana maneno kimtindo

Sijaisoma lakini najua utakua umeandika utumbo
 
Kuna watu bila diamond platnumz hawali, mpumzisheni basi, kila kitu yy.
 
Shule bado hawajaanzaa shilling 500 vodacom hivi vitoto vyashule vinapaga mb 200 kazi havina kazi zao kutukana watu mitandaoni na kuwafuaga ma sugermamy ,kazi havina vinakula tu kwa mashemeji zao ,.endelea kuandika pumba zako .
 
Mleta uzi hana hamu na hizi comment[emoji23][emoji23]
 
Roho za kimasikini na wivu zinawasumbua sana watanzania,mtu akianza kufanikiwa kidogo tu tayali wachawi nao wanaanza kukesha kwa fitina na uchonganishi, hapo tayali wameingia kazini rasmi kuhakikisha darrasa anapotelea mbali,bila kujua kwamba anayetoa riziki ni Mungu pekee
 
Pale binadamu anapokosa kazi ya kufanya, na kuamua kuambukiza ubongo wake na ugonjwa wa ujinga.
 
Wewe mnafiki na mgombanishi yaani huo mstari unaweza kumgusa mtu mmoja tu nchi hii ambaye ni daimind?? acheni kugombanisha watu.
 
Nmejaribu kusoma... sioni uhusiano wowote wa hiyo mistari kw kweli ni upuuzi tu... uo mda ulokaa kuusumbua ubongo wako bora ungelala tu
 
WCB juuu mana Darasa kuna sehemu anaukubali Salome kwa kusema Wanasemaga Tunachambua kama Karanga
 
Hahahaa eti mkali wa hip hop daahh kama hii nayo ni hip hop kweli bongo kuna aina nyingi za hip hop
 
Kila msanii akutoka anataka kushindana na mondi, du
Alianza

Kibakuli
Akajaribu. Kale kasukuma. BARAKA

akanza na yule kijan mpenda, vipodozi vya kike, A K A mzee wa kupumulia

Sasa darasa
Mdogo wangu, darasa jiangalie upya
Wapo waliokua wana rap mziki wa hiphop unamaisha mafupi na hua unakuja na kupotea
 
Post #60 kati ya #67 ..... zinamshambulia messenger, inaonekana kuna watu wanajiunga Jf kwa kazi maalum ya kutetea timu zao

Ukijaribu kusoma uzi kwa akili huru, utagundua mwandishi has a point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…