Darassa, Diamond wanarushiana maneno kimtindo

Post #60 kati ya #67 ..... zinamshambulia messenger, inaonekana kuna watu wanajiunga Jf kwa kazi maalum ya kutetea timu zao

Ukijaribu kusoma uzi kwa akili huru, utagundua mwandishi has a point.
Kwa hiyo na ww unaamini bila mond no bongoflava
 
Hamna kitu pumba tupu

Mnataka tu kumpoteza kijana wa watu kwenye game kwa kumtengenezea bifu na aliyemzidi kila kitu
 
sio yeye ni global publisher si umeona chini hapo
 
Yaani umekaa afu ukaamua kuanzisha ugomvi kati ya Diamond na Darassa.
Ach upuuzi wako.
 
Haya atoe singo ingine tena tuone kama itakua kama hii...
 
Hii ndio tafsiri aliyoitoa darasa au ni jinsi ulivyoelewa wewe?[emoji51] [emoji51]
 
Huyo Mr. one hit wonder apewe muda tu mwakani muda kama huu itajulikana nani ni nani
 
Hata kama yy sio primary source kwa kitendo cha kuleta hapa hyo habar tayar kawa secondary source ya utumbo huo!
haaa mjomba povu lote hilo utakuwa shabiki wa mondi tu
 
Kuna baadhi ya vyanzo vya khabari inabidi kuviangalia kwa jicho la tatu
 
Ebu niweekee huo Muziki nikausikilize.. make unaweza ukawa umeandika blaablaa..weka Muziki
 
Nyie mashabiki ndio mnagombanisha wasanii yaaani hapo we una promote bifu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…