Darassa, Diamond wanarushiana maneno kimtindo

kweli maisha ni matukio yaani mtu umekaa waandika mamboo yoooote hayooo kisa nini tafuta kazi ufanye
 
Sasa darasa nA hao wengine wanamuwezea WaPi chibu .....wapige kazi waache majungu...cmba anawanyima ucngizi
 
Na ile sehem aliyoimba Ben paulo inamaana gani I amnjust curious
 
Hizi akili zingetumika kutatua matatizo au kubuni kitu ungekua mbali sana mkuu.
 
Darasa ameshatoa nyimbo ngapi? yaani apate umaarufu kwa kumtajataja chibu, hawa ni watu wasiokaribiana hata kidogo, kifedha, washabiki, umaarufu..
 
Umemaliza muda wako kwa kutunga huu utumbo mijitu mengine mijinga kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…