Dare if you can. This is the tallest building in East and Central Africa kissing the sky.

Hii vita ya wakenya na waTz bana.
 
Kwa miaka 10 hii ya Magu Dar itaendelea kuwa 3 tower city coz uchumi umestagnate na yeye sio funny wa majengo marefu ananyima had private sector vibali eti wakajenge viwanda had atakapokuwa Rais mwingine
Imagine had nssf tower hazijakamilika na hakuna kinachoendelea.Kwa jiji kama Dar sio fea kuwa na skycraper 3
 
Kwa miaka 10 hii ya Magu Dar itaendelea kuwa 3 tower city coz uchumi umestagnate na yeye sio funny wa majengo marefu ananyima had private sector vibali eti wakajenge viwanda had atakapokuwa Rais mwingine
Imagine had nssf tower hazijakamilika na hakuna kinachoendelea.Kwa jiji kama Dar ni aibu kuwa na skycraper 3
 
Matarajio ya uchumi wa nchi za East Africa combined ni potential sana kwa wawekezaji kuliko huko south Africa given popn inayotoa soko kubwa na pia ni rahisi kufikia masoko ya jirani ukiwa east Africa
Kenya inapata favour kwa vile iliwahi kuwa na miundombinu rafiki toka mwanzo na wana sera rafiki kwa wawekezaji.But Tzn itakuja kuipita Kenya siku za usoni may be around 2050 huko lakini nafasi ya Kenya Kama financial hub ya East Africa itabakia palepale kama vile Uingereza na Germany
 
Hii nyumba uko Chuga ina flr 17 imesanifiwa na kujengwa wa Watanzania 100% View attachment 1118310
Moja ya majengo mazuri lakini sehemu ilipo ni finyu hakuna hata space za parking afu nilikuwa najiuliza wamejenga jirani sana na barabara sijui itakapolazimu kupanua road itakuaje.Tzn mambo ya mipango miji ni zero kabisa
 
We dogo una mishe Za kichoko

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…