Hao rotana wana plot mbili Upper Hill na nyingine ndogo pembeni.... option ni kujenga tu hakuna lingineWakiweza Ni sawa ila renting Ni rahisi zaidi kama mazingira Ni favourable ikitokea kuna msukosuko inakua rahisi kuhama
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Huu mwaka ni very possible,Rotana hotel wanafungua Sept Ni miez mitatu imebaki,hamuwez maliza izo nyumba mwaka huu nyie
Wewe kojoa ukalaleSiku likishuka mtalia na kusaga meno,na hivi mmejengewa na mchina,lifespan yake hata 20 halitazidi.
Hii nyumba ni classic bro,macho yako yamezoea kuona zege sio?[emoji23] [emoji23]Si wivu, that thingy is not appealing to my eyes.
Bora umeelewa what I meant then its okay, imekaa ama wollefa
Siku likishuka mtalia na kusaga meno,na hivi mmejengewa na mchina,lifespan yake hata 20 halitazidi.
Zii, they look blunt kiplani.Hii nyumba ni classic bro,macho yako yamezoea kuona zege sio?[emoji23] [emoji23]
Ukicheck pembeni utaona Mzizima towers nazo zinakuja kwa kasi ya 5G ....35,32 flrs respectively View attachment 1123228View attachment 1123229
Zilikua priority za mifuko ya kijamii kuwekeza kwenye nyumba ndefu back then, nowadays gov is stressing more on infrastructures ,some ar now investing in sugar industries and others Hii ni kulingana na sera zinavyobadilikaHuu mwaka ni very possible,
Na mkimaliza hizo gorofa mko na zingine mnajenga?
Na how comes all your tall buildings are built by the government?
Na bado watajenga zingineSiku likishuka mtalia na kusaga meno,na hivi mmejengewa na mchina,lifespan yake hata 20 halitazidi.
Fundi baiskel unajikuta mkaguzi wa majengo wap na wapZii, they look blunt kiplani.
Yeah mmekuwa na boom ya highrise buildings.Zilikua priority za mifuko ya kijamii kuwekeza kwenye nyumba ndefu back then, nowadays gov is stressing more on infrastructures ,some ar now investing in sugar industries and others Hii ni kulingana na sera zinavyobadilika
Mimi ni armchair architect thanks to GoogleFundi baiskel unajikuta mkaguzi wa majengo wap na wap
Utafrahi tu kazi zinazofanywa sahv Ni kubwa kuliko...Yeah mmekuwa na boom ya highrise buildings.
But your street plannings hazinifurahishi. Government should work on those city roads
It doesnt matter bro,sioni tatizo lolote iyo nyumba iko vizur sana tu kulingana na mchoro wakeMimi ni armchair architect thanks to Google
Hata mjenge gorofa mia tano,who cares ?Na bado watajenga zingine
8 buildings za 34 floors loading
na 26 building za 16 floors loading pia
wacha tujienjoy basiHata mjenge gorofa mia tano,who cares ?
ah aah... sio kwa uchafu ule wa Manzese, Bugruni, Mwananyamala na Mbagalanyie kunguni wa kenyata mnakuja kututisha kwa vipicha picha vyenu,,eti nyie funza,,,
Acheni dharau na ushamba,,hayo majengo yamejaa hapa bongo,,njooni basi myapige picha mrushe kwenye media na ushamba wenu nyang'au nyie,,
Utafanya tuusan: ameze wembe.[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]..sisemi zebra crossing,na maanisha cbd yote [emoji38][emoji38]