sixlove
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 563
- 393
Habarini za mihangaiko ya hapa na pale, Naombeni uchambuzi wa kina juu ya hili swala nitakalosema. mchumba wangu hupata siku zake( period/ MP) kila tarehe 16 au 17, na huchukua siku tatu (including the initial day) kumaliza mzunguko wake, hivyo napenda nijuzwe kwa kina vitu vifuatavyo. Kwani nahitaji kuanza kupata mtoto wa kiume
1. Siku zake za kupata mimba ni zipi?
2. Je ni siku zipi anaweza ku concieve mimba ya mtoto wa kiume au wa kike?
3. Mara tu apatapo ujauzito ni vyakula gani au vinywaji gani hapaswi kutumia?
1. Siku zake za kupata mimba ni zipi?
2. Je ni siku zipi anaweza ku concieve mimba ya mtoto wa kiume au wa kike?
3. Mara tu apatapo ujauzito ni vyakula gani au vinywaji gani hapaswi kutumia?