Dare to do this!!

sixlove

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
563
Reaction score
393
Habarini za mihangaiko ya hapa na pale, Naombeni uchambuzi wa kina juu ya hili swala nitakalosema. mchumba wangu hupata siku zake( period/ MP) kila tarehe 16 au 17, na huchukua siku tatu (including the initial day) kumaliza mzunguko wake, hivyo napenda nijuzwe kwa kina vitu vifuatavyo. Kwani nahitaji kuanza kupata mtoto wa kiume

1. Siku zake za kupata mimba ni zipi?

2. Je ni siku zipi anaweza ku concieve mimba ya mtoto wa kiume au wa kike?

3. Mara tu apatapo ujauzito ni vyakula gani au vinywaji gani hapaswi kutumia?
 
Mkuu hii kitu imeshajadiliwa sana ktk jukwaa hii. Jaribu kuperuzi utaikuta lakini toa shaka watalaam watakuja kutoa ushauri. Ila utegemee miruzi mingi ambayo inaweza kumpoteza mbwa! Mimi si dokta lakini unatakiwa kujua hedhi yake angalau miezi kadhaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…