Dark days 17/03/20...

Yani ndo nilikuwa nishachomeka neti hapa niuchape, kuna kakitu kakanambia "Hebu kamchungulie Yoga kama hajafanya yake".... Kumbe kweli bana[emoji39][emoji39][emoji39]

Unforgettable
 
Yaani ilibakia kidgo San niingie kweny timu ya mini branch manager usajili ulikuwa tayari kbsa leo ungenifahamu kbsa au namm ningeunganishwa ktk kesi zinazomkabil Mr mini branch manager

Ilikuwa mwezi wa tano kipind kma hiki hiki nilipigika kweli bas akatokea jamaa akniunganisha na Mr mini branch manager alipo kuja dsm kweny interview na clouds fm .namshskuru mungu San kwa kunitoa kwake
 
Siuendelee tu leo leo
 
Good night sleep unono honey!!
 
Kumekuchaaaaaaah,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mr Tembo????. Nimetoka kappa
 
Sasa huyu mini branch manager mbona kama anaenda kuwa huruuuu
kwa Kesi iliyobaki huyu mshenzi sana Mini-branch Manager haponi atatndikwa miaka pia maana Born town yupo nyuma ya yote au uraiani watammaliza, kitendo cha kuua watu watatu kwa tamaa ya jiwe alilolikosa Mungu wetu amlaani
sijui juzi alishindaje ile kitu ila bado kakaa kisongo
 
Tembo mmesema ni nanaci pole yake na mwanae, sasa hawa kina
anonymous, unknown & Tanzanite hizi codes tusaidieni jamani hasa watu wa arachugan mnaweza kuwakumbuka hawa wa3 walioopotezwa ghafla (mini branch manager alaaniwe )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…