Dark days 17/03/20...

Kelele zote huwezi amini kijana msema sana ana mahusiano maziri na old CEO. Hii michezo ndio ilivyo.

Majuzi kuna mtu alinambia face to face kuwa deep informer ana mahusiano maziri na baba mwenye democrasia zake nilipinga ila naanza kuunga dots.

Alivyowekwa kabatini kelele kibao utadhani hawajuani, siku anaondolewa anaenda kusujudu.

Hizi michezo waachieni wenyewe kelelee nyingi utadhani ni wakweli.

Embu fikiria kelele za kijana msema sana hadi leo kumbe yeye na old ceo ni mabest? Mdo maana baada ya tukio deep informer alienda kumjulia hali na majuzi wamekutana yaani mara daftari limeibiwa anunuliwe jingine aweze kusoma tena, nyoooolo zako nimepata kichefuchefu
 
Acha watu wamwage deepshit hadharani maana mlihisi yanafichikaga haya. Kwa kudra za Mungu angemaliza terms zote mbili na tungekuwa mbali sana kiuchumi baada ya miradi kukamilika ila ni kutokana na roho za chuki na tamaa za mafisadi wamedhulumu uhai wake.
 
Umenipoteza, code nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…