Dark days 17/03/20...

MKUU Kuna msitari mwembamba Sana unaotenganisha ushetani na uungu!!
Yaani Mungu akamuumba malaika halafu huyu malaika akaasi KWA kuwa na kibri!

Sasa tujiulize maswali haya;-

1.huyo malaika alipata wapi kiburi wakati hakujua na shetani mwingine wa kumtia kiburi!!?

2.Mungu anapataje ujasiri wa kuwachoma moto watu au wakosaji wakati huyo shetani alimuumba mwenyewe!?

3.Mungu alipomuumba malaika huyo akawa shetani hakujua angekuwa shetani na kuleta Matatizo yote Haya tunayomsingizia kuwa yeye kayaleta wakati kaumbwa na Mungu!!?ina Maana Mungu alifanyiwa suprise tu!!?hakutegemea kuwa ipo siku huyo kiumbe atakuwa shetani!!?au yeye Ndio aliamua hivi awe shetani!!?


Tafuteni ukweli wa mambo haya Ili hizi imani ziwe na maana!!!

Kuacha tu eti tutajua huko huko ni uwendawazimu!

Mnaojiita manabii na MITUME na mnaenda huko ulimwengu wa KIROHO nendeni kaulizeni mje na majibu!!coz inaonekana tulichimbiwa shimo reeefu halafu likafunikwa na kitambaa kana kwamba ni ardhi ya kawaida Ili tuangukie!!!mtego wa baba KWA Watoto wake huu halafu anasema anatupenda WOTE sio!!?
 
Dip state ya mchongo
 
Mambo ni mengi...
 
Mambo ya Mungu na shetani ni hadithi za kutunga tu, inashangaza sana kuona kuna watu wanaziamini!
 
It makes sense. Labda tuseme dipst haikua powerful enough ki intelijensia mpaka kuhakiwa na kudhoofishana wenyewe. Wao njia yao hua ni kumuondo msaliti duniani, je kwa nini hakufanya hivyo? Maana lazima waligundua usaliti.
Naona mambo yalikuwa ya kisirisiri sana kama wao walivyo, waliokuwepo walikuwa wana iba taarifa na wanaoiba hawajulikani.

Sio kwamba wakati BT anaanzisha ya kwake basi aliwatangaza katikati yao,la hasha
Ila miongoni mwa dipstate walikuwa masnitch kwenye dipstate yenyewe kwahiyo wakajikuta wanaanza kuwa dhaifu kwamaana wao kwa wao hawakuwa tena na siri ambayo isingejulikana na hawakuaminiana
 
ninachoelewa mm ni kwamba Masonic wanaitawala dunia na watu wote wenye nguvu, na wao ndio wanamiliki hela na mifumo yote ya kiutawala
Wanawachagua marais na wanauwezo wa kumuua rais, nguvu na mfumo wao ni mkubwa na wenye siri
 
Hiyo kuwaza tu kuivuruga dark society tayari unakuwa umeshashughulikiwa.. Ndio seuse kuigusa sijui kuivuruga?

Hii maneno ni ngumu sana sana eti.. Ni inakuwa rahisi inavyobadilika kuwa hekaya kama hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…