Dark days 17/03/20...

Ukwaju, haina tofauti na Simulizi za Da Brown wa Da vinci codes
tofauti yake hii ni true story ambayo ni updates twenty22
bandari ya bwagaheart na kujiuzulu kwa Agwe bado hujagundua sio tamthilia,
juzi kuna mmanga kaongezwa share ya bwagaheart akiwa na damu na Zenjiba
mpe Moyo yoga atupe vinavyopikwa jikoni kuliko vitabu vya hekaya au wageni
 
tatizo humu JF mnakuja na solution story ya ovyo wakati hamjaisoma na kufuatilia
Tafuta mahali msemaovyo alipenyezewa deal la kutibua mrafi wa gold na CEO wa awali, na akamtonya anafuatwa, bado aliposhushiwa risasi ndiye aliyetoa Ndege aende Nairobi kwani Dar Dr wa dawa magumashi aliambiwa na the Late ammalize, na CEO wa sasa akamfuata wodi sasa Chura hujaelewa wapi au hutaki tu
 
Aisee
 
Kuna code zimekupita mahali
 
(1). New CEO kaenda ziarani nje ya kampuni kupata briefing kutoka kwa kijana wake... around end of mwezi ''FEBRUARY 2022''.

(2). Wakati hayo yakiendelea huko Dubai, the Old CEO anasmell something fishy kuhusu 'excessive loyalty' ya new CEO kwake.

(3). The old CEO anaamua kumtafuta 'kijana' wake ili wamtafute Mwenyekiti wa Board amchokonoe new CEO deliberately in public ili old CEO agundue kitu fulani alichokuwa anakihisi kwa new CEO.

(4). Mara baada ya uchokonozi huo wa makusudi wa Board Chairman, the new CEO aka-react harshly, na instantly the board chairman akatumbuliwa kwa mwamvuli wa 'resignation'... tarehe ''6 JANUARY 2022''.

(5). Upon such harsh reaction ya new CEO towards the board chairman, the old CEO akaconclude kitu alichokuwa anakihisi kwa new CEO.
_____________________

The dates za matukio halisi hazi-correspond na mtiririko wa matukio kwenye hii hekaya ya yoga.

New CEO akaenda Dubai mwezi February 2022. Then akaja kumtumbua board chairman mwezi January 2022.

This narration is just selling some cheap smokes !!

Wrap it up guys. 😎

-Kaveli-
 
Naungana na wewe.
 
Hapo mwishoni panafurahisha sana
 
Mtoa mada kuna ishu niliisikia kuwa the late CEO mazishi yake yalikuwa na utata kidogo

Kwamba pale walipomaliza kuaga kabla jeneza lake halijashushwa kaburini alivishwa ngozi ya mnyama na inasemekana alizikwa na mkuki ndani ya jeneza lake

Kimila ikiwa na maana kwamba kama alifariki unnatural death yaani aliuwawa na watu basi kiroho huo mkuki utakuwa kama ishara ya revenge kwa wote waliohusika kumuua lazima yatawarudia kwa namna moja ama nyingine

Na ndiyo maana tukio la jeneza lake kushushwa kwenye kaburi halikuoneshwa live camera zikawa zinawaonesha tu waombolezaji

Je ni kweli hilo mtoa mada
 
Najaribu kuimagine kama hao akina Mr born town wanasoma huu uzi sijui itakuwaje?

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo humu JF mnapenda sana hizi story.
Na huwa mnaziamini.

Ila kaa ujue hakuna inside informations zinatolewaga kizembe (hivi tena zinazohusu life za watu wakubwa kabisa).

Eti mtu atiririke kama gazeti hivi, tena kweupe hivi. Hakuna kitu kama hicho.
Hizi informations huwa zinafichwa kwa gharama yoyote ile.
Zikitolewa huwa zinatoka kwa uchache tuu.

Sio mtu anasimulia ya upande A, upande B na upande C yote yaliyofanyika anayajua. Hiyo collection ya hizo taarifa aliiwezaje wakati kila upande unajilinda taarifa zisivuje? Kama sio Utunzi .
 
Punguza ujuaji, mbona uliletwa uzi humu kua atatokea Rais ambaye hajawahi kugombea na sababu zikatajwa?
 
Ndio mpendwa hizi ni hekaya tuuu, and nothing sereous[emoji15][emoji2960][emoji2960] anyways good analysis!!

NB: Literature reflect the society!! nothing sereous!! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…