Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
....So the plan is to steal our dip state and hand over to magharibi as DRC!?so then I can see the boundaries will be extended further for dark dip state to rule that means from DRC,Rwanda,magharibi and ours this means the return of true TANGANYIKA!?And be under dark dip state Right!?so first a Union with magharibi then drc,Rwanda to follow under the owner of dark dip state!?is that the true picture I get!!?all EAC UNDER DARK DIP STATE!?IS THAT THE PLAN!?
Habari za deep.state hazina tofauti na zile za Freemason, mapepo na majini. Zimekaa kiimani zaidi bila kuw ana uhalisia wala ukweli wowote.dip state sio mtu mmoja, its a bunch of people with good heads, patriotic and dedicated for their nation. Huwezi kuuzidi akili umati wa watu wenye akili wewe mtu mmoja, Every mission should be agreed with all seniors with some proper research and data from the ground.
To overthrow the dip state which set and work together for many years, you need also a lot of years and will need elimination of some important critical members without being noticed one by one silently.
How many years will be taken for silent elimination of more than 200 members from different department of dip state and you become the boss with full authority and all members looks after you?, isnt fuckin easy like many of you trying to think.
Back to the topic, In dark world and vibwengo world, its two far different cases.
Its easy for vibwengoz takes at easy with their easy world but no fuckin easy thinking in dark side.
There is states which have got no dark mgt rather than fuckin vibwengo leaving easy life which have been pirated in dark and controlled in dark very dip.
Dip down thinking to all stable states which are not pirated in dark and they are the controllers of their own darkness ~ You cant take the dip state and put in your control.
Since day one of independent, the handover from British was very clear and created two darkness with the top far in dip dark and other not near from the 1st one, they are all far are part ( its long story and not these vibwengoz heads can figure out).
Thanks, cheers.
Alikuwaga wapi huyo bachelor II?kwenye mambo ya intelijensia kuna kitu kinaitwa "social engineering".
huu uzi kwa sehemu kubwa ulikuwa unaanika au kugusa kambo ya wakuu(kama yapo,hahahaaa)na kuna baadhi wanadhani msimuliaji anazungumzia tamthilia,thats a big no.
ujio wa huyu anayejiita bachelor II ni mpango mkakati wa kumtuliza yoga.
kwenye social engineering huwa linatengenezwa tukio ili kuzima tukio.
Bachelor II ni states person na anachofanya ni kuwatoa watu kwenye "UWEPO".dah TISS bwana mmetisha sana.
kuna watu washafatwa inbox kwa mengineyo.bachelor II endelea na igizo lako kwa kiasi fulan umejitahidi
Yap yoga ni charter ingine, km ule uzi wa JK miaka ile alipoletewa jina la SheinAlikuwaga wapi huyo bachelor II?
Hana ubavu wa kumzimisha Yoga hata aende kwa mganga wa kienyeji hawezi kumzimisha Yoga
Naomba ushare na mm huo uzi kiongoziYap yoga ni charter ingine, km ule uzi wa JK miaka ile alipoletewa jina la Shein
Miaka mingi wkt JK anasoma jina la makamu wake, sijui jinsi ya kutafuta aiseeNaomba ushare na mm huo uzi kiongozi
Weka hapa link ya huo uzi.Yap yoga ni charter ingine, km ule uzi wa JK miaka ile alipoletewa jina la Shein
26/8/2022Yoga mrembo utashusha saa ngapi nipo kwa office kila nikiona date kinyege Cha kuchungulia uzi kinakuja