Dark days 17/03/20...

"Nini kilitokea, nini kimetokea na nini kitatokea????"

Watu hawalali, macho kodoo!
 
Hizo ni imani potofu. Hayo unayoyasema na kuamini yangekuwa kweli viongozi wengi wa USA wangekufwa kwa damu zilizomwagwa: Vietnam, Korea, Iraq, Afghanistan, na Palestina; pia viongozi wa Israel wangekufa kwa mateso na mauaji ya Wapalestina.
 
Hata mtoto changa anajuwa mzee wa Msoga ni Kikwete.
 
yoga, let me sleep, I'll come back tomorrow to read if my mind stays right, because right now I feel like I don't understand this, who should be sent to free my nation from this cruelty or which one of us will stand firm to get us out of where we are? the creator of heaven and earth was heard asking this question, the answers are on the way, one person is ready.
 
Yoga is back
 
Mungu anaipenda sana hii nchi inaitwa Tanzania kifupi TZ herufi zote za mwishoni kabisa lkn zaidi ya yote inaishia na herufi A mwisho mwa jina la nchi Tanzania.

Unaelewa maana yake?

Ni mwanzo na mwisho.

Bado Mungu anaipenda mno hii nchi, tena sana kuliko jana na itaendelea ivyo.

Kuitwa kisiwa cha amani si jambo dogo, mengi yanatokea na yanapita watu wanabaki kushangaa waTanzania ni watu wa aina gani?

Ndo jinsi Mungu alivyotuumba hapa ktk chanzo halisi cha bustani ya Eden na watu wote ulimwenguni

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ona tapeli linavyowalisha watu udanganyifu.

Huyo KIKWETE hana uwezo wala nyenzo yoyote ya KUMUUA RAIS WA NCHI.

Naona unajaribu kufunika funika ukweli kwa kutengeneza uzushi na vijistori vya kuhadaa nyumbu.

Tunakucheki tu tunasema Hiiiiiiii....
 
Ona tapeli linavyowalisha watu udanganyifu.

Huyo KIKWETE hana uwezo wala nyenzo yoyote ya KUMUUA RAIS WA NCHI.

Naona unajaribu kufunika funika ukweli kwa kutengeneza uzushi na vijistori vya kuhadaa nyumbu.

Tunakucheki tu tunasema Hiiiiiiii....

Ni riwaya tu sipanic. Au wewe ni dkt wake bt eh? Sio kwa kung'aka huku kwenye riwaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…