Dark days 17/03/20...

mtindo wenu wa kuchomekea watu maneno kwa nguvu kuna siku utawarudia . Round hii kijiwe kinatumika kunyang'anya watu uongozi ,yule Bi Cheusi mmemuahidi nini?
 
Note taken
 
Wewe huoni nchi hii inahitaji mabadiliko?kina Bt wanatumia nchi hii Kwa maslahi Yao huoni Sasa hivi tuna viongozi dhaifu Kwa sababu angalia mambo yanayoendelea nchi hii tozo zinaanzishwa ovyoovyo gharama za huduma zinapanda mfano mabando.nchi inahitaji mabadiliko ya kiuongozi tunahitaji Rais mahiri na wasaidizi wake mahiri.na ushahidi unaonesha bila Shaka kwamba BT kamuua late CEO.nafikiri Deep state wanaona hitaji la nchi kupata viongozi mahiri Sasa hivi na Pia kuwaangamiza wasio na lengo nzuri na nchi hii na wanaotumia nchi hii Kwa maslahi Yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…