Dark days 17/03/20...

Good umerudi miss yoga
 
Finally umetupa kitu roho inapenda
 
Huyu ndio yoga ninaemfahamu humu!!

Nyingine unashusha lini!!?

Nimeshtuka Sana KUONA wenzetu wamepanga vyeo vya kampuni Miaka 30 ijayo! Hadi nimejiuliza HIVI na Mimi nipo kwenye list KWELI!!?

Naomba Mungu nisiwe msindikizaji kwenye kampuni yetu hii,na mimi nichomoze hata kama kibatari TU!!!

Nimefurahi kuwa new culture loading!lakini itakuwa na faida Kwetu sisi wateja!!?nasubiri.......

Mungu ibariki nchi YANGU TANZANIA
 
Hiyo ni list yao, kama inaendana na aliyoipanga Mungu itakuwa sawa hiyo miaka 30.
 
Acha niwek likes kwanza Kisha nikasome sas

Injini umerudi kwa kaz ya ajabu haswa 5g

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Malija ninampenda anahuruma San na hi kampuni sema sas manyangau watu wabadi kinoma

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
"We the elites, jukumu letu ni kuhakikisha kuwa sisi and our families we enjoy this business for life!"

Nakuu ya maneno hayo katika hii simulizi yanaashiria kuwa kundi hili ndani ya kampuni lipo kwa ajili ya maslahi yao binafsi, na wala hawaguswi na maumivu yaliyopo kwa customers.

Vyeo vinavyotolewa kwa watu mbalimbali ndani ya kampuni havitokani na ushindani wa ajira ndani soko, uelewa wa mambo, ujuzi, uzoefu, weledi, maadili uzalendo na walaahotaji yenye kujali mustakabali mwema wa kampuni na wateja, isipokuwa wateule wachache ndio waliojimilikisha kampuni kwa faida zao binafsi.

Ufalme uliogawanyika na kufarakana kamwe hauwezi kudumu. Katika simulizi hii ni lazima itafika muda wa wanakikundi kuachana na fikra na tamaa za born town. Kijana kalianzisha ni lazima hisia zake juu ya customers kupigika kimaisha zitapenya kwa elites wengine wenye maono kama yake.

Thanks Yoga for this piece of details in your fiction.
 
Asante kwa kuleta kile kilichokuwa kimefutwa, japo hukutujibu kama ulifuta wewe au mods!
 
The Elites, Dark DS!!!

Rejea simulizi ya watu nusu MTU nusu PEPO.

Bt ktk KAMPUNI yetu, the FUTURE is so bright. Hawatafanikiwa.

Watakuja Kutoka kampuni mbalimbali all over the World kuja NYIKANI.

Maziwa na asali vitapatikana hapa.

Ameeeeen.
Kwa hiyo hao waliopanga kupeana vyeo Kwa miaka 30 hawatafanikiwa?unasema our future is bright how?who will save us from this people wanaotaka kujinufaisha wenyewe na kampuni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…