Dark days 17/03/20...

Kaisemea wapi hii
 
Sasa issue ya Kova uliisikia? Yeye ndo aliitwa Ikulu na boss wake then wakafanyiwa kama wapo kwenye meeting na late CEO, kumbe LATE CEO akiwazuga kulikuwa na mzigo wa magendo unatakiwa kupita sehemu fulani mida hiyo,

na mzigo ni wa mzee wa msoga! Ukafika mda ule mzigo kupita ukazuiwa askar, wale vijana wabeba mzigo wakapiga simu kwa mabos zao, mzee wa msoga akafikishiwa taarifa kuwa wamezuiwa, Mzee wa Msoga akaruka hewani kwa Elnest Mangu, hapo wakiwa kwenye kikao na late CEO! simu ziko mezan maana LATE CEO aliwaambia simu ziwekwe mezani!

Mangu alimwambia usipokee kwanza, simu ikakata baada ya kukata simu ikaita kwa Kova kwa namba ileile msoga, sasa kova akaambiwa pokea weka Loud ikabidi afanye hivo maana ni agizo tena! Sasa pale MZEE WA msoga hajui kitu akaanza kulalamika mbona mbona Mangu hapokei simu na vijana kule mnawapa shida? Basi kova ikabidi aseme ywapo kwenye kikao na No. 1.

Baada ya hapo walifunguka yote na ndiyo maana Kova alistaafu kwa hiyari.

Usione Msoga anamsema vibaya mzee wa Chato anachukinae kwenye mengi

nipo temeke.
 
Kwenye hii Riwaya ya YOGA inatumika CODE zaid, hii post yako imevaa bikin tu,.maungo mengine yote yapo uchi/wazi
 
Huu ni umbea,afande kova amestaafu kwa mujibu wa sheria sio kwa hiari.tena alitakiwa kustaafu kabla ya hapo akaongezewa muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…