Dark days 17/03/20...

Mzigo gani huo mkuu
 
Za siku jamani!! Hamjambo hapa, mko poa?? Nawasalimu kwa jina la jamuhuri..........(kazi iendelee)

Jamani Mi mzima aswa na nipo saalama wa salmin!! Nawakaribisha kwetu huku mabwepande[emoji1787][emoji1787] tuimalizie siku vizuri!!

Any ways, mnisamehe jamani, delay zilikua nyingiiiiiii!!

But Something beatifull, nice, emotional ilikuwa ipo kwa jikoni inaandaliwa!!

Sasa jamani Tuna epsode moja ya mwisho ya dark days then sasa...... tuna new story ambayo nikama vileee muendelezo wa dark days!

So ili kuielewa utapaswa uwe umeisoma vizuri sana dark days!! Kama ushaisahau fanya revision kabisaaa[emoji122]


Ila kutokana na wajuba hewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wazee wa nukta nuktav nadhani hiyo itaanza na uzi wake mpyaaaaaaaa[emoji123] yaani brand new kabisa!!

But itaanza na ending epsode ya DARK DAYS, Then tutaintroduce enyewe!!

Jamnieeee Usikose hii, trust me!! Nibonge moja la fiction[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wale tunao jua kuhusisha watu wengine please kwenye hii msifanye ivo jamani!! Nothing personal!!



Asanteni sana nawapenda sana [emoji23][emoji120][emoji120][emoji120]

Andaa popcorn tu!!

Alafu nlitaka kusahau wapendwa, naona kuna ndugu zangu hapa wanasema watanshughulikia[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23] ..... Haya nawakaribisha kwa mikono miwili karibuni!! Na msiache mtimize iyo ahadi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawasawa..
 
Kama Kuna nchi inaongoza kwa kupiga Mikwara ni Tanzania. Kuanzia viongozi wananchi mpaka Hawa wajuba Feki. Jana Kuna Traffic Police alinisimamisha sehemu kwa mkwara alioanza nao nilijua hata elfu ishirini hachukui aisee Mwishoni akalamba buku tatu. Yoga Mikwara isikutishe Mwishoni hao hao ndo wanaomba next episode.
 
Sawasawa..

Kwamba wanaitisha DS!!!
 
.
 

Malizia iyo final sasa Mambo yasiwe mengi then ukianza hiyo new season pls tag me
 
Unamalizia lini!!?

Tunasubiri kwa hamu Sana ujue!!
 
Yoga nakupendaga sana..karibu nanjilinji.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mwenye uzi wake ,anawakaribisha watu flani Ili awatandike mshale wa kiuno ,ground Mambo moto Sana 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…