Dark days 17/03/20...

Vijana punguzeni ukali wa manene you are not safe like that
 
Alinyooshwa tena na jeshi la mtu mmoja, akachukia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema mzee wako naskia hata kabla hajazeeka alikua na matatizo ya nguvu za kiume. Alikua anahonga sana ili wasimtangaze[emoji23][emoji23] wengine alihonga ukuu wa wilaya eti ni kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]?!????

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app



"naomba hii code ifunguliwe kwa code nyepesi"
 

Hakuna umakini wa hivyo unavyotaka tuamini.
 
Awali alikuwa fiti, tatizo lilianza alipofanyiwa operation kwenye viazi viwili kule kwenye kampuni kubwa zaidi.

Kabla ya hiyo operation nasikia alikuwa kisu ,na ina semekana ndo kidume no moja alokuwa akijuwa kulalamika kwenye 6x6 kuliko kidume yeyote. Yaani ati alikuwa akilalamika kwenye 6x6 anatoa mpaka machozi na kile kisauti chake nyooolo zake 😏😏

Si unajua yule mswahili so hayo mambo alikuwa anayajua sana, watoto wa kukaa vibarazani atajua nini tofauti na hayo mambo? Alizalisha sana wanawake lazima watoe siri zake.
 
Hahaha duuh ila kumbuka yule pamoja na kwamba ni mtoto wa vibarazani lakini ni mwanajeshi mstaafu tena luteni kanali na siyo watoto wa vibarazani wote wanaweza uanajeshi! So yuko tofauti na wale wakaa vibarazani wengine wanaoshinda wamevaa misuli!
 

Waovu siku zote hujishuku. Wanakutishia ili usiendelee kumwaga madini.
 

Miaka 6 iliyopita ” Corona Plandemic”haikuwepo, Ma ceo wote Duniani waliopinga corona aidha wameondolewa kwa nguvu au wamefariki, hawa ma CEO wa Bongo wanatumika tu lkn hawana power kihivyo, huu umafia unafanywa na CIA ambao of course wanawatumia ma old ceo lkn old ceo hana uwezo huo kwa maoni yangu mna overrate sana, wanao pull strings wako nje na ndio wanaopewa Gas, wanaotaka tanesco iuzwe, wanaopinga Bwawa la Nyerere la kuzalisha umeme, wanao pollute Mto Mara na kutaka walindwe kwa kusema ni mavi ya ng’ombe wakati ng’ombe wamekuwepo miaka yote na hakukuwa na shida, yote haya yakiendelea wanachukuwa cobalt yetu kwa wasio fahamu cobalt inahitajika sasa hivi Duniani kote hasa kwenye EVs (electric cars) ina kuwa mined Kabanga- Ngara na kuchukuliwa na sisi kuachiwa mashimo.

Tujiulize Tony Blair alifwata nini Bongo baada tu ceo kutawazwa ? Wanaojua mambo ya Tony Blair wanajua kwamba ni mafia group, hata huko kwao alikuwa na kesi ya kujibu sijui ilishaaje.

Raisi wa Haiti alipigwa risasi usingizini amelalal na Mke wake, wakasema eti ni majambazi jiulize waliwezaje kuingia Ikulu na ku assasinate Raisi wa nchi ? Walisema eti ni criminals walivamia Ikulu, huyu alipinga corona, yule wa Madagaska wamemkosa kosa mara kadhaa ila nafikiri sasa hivi ameshakubali vaccination amesalimika , …
 
Ni kweli, lakini inategemea na jamii inayopelekewa ujumbe na lengo la mtoaji taarifa. Jamii yetu inapenda nyepesi nyepesi mno, hivyo hizi habari hata kama ni za kweli zitaonekana ni masikhara,
Na huenda mlengwa ameshapata ujumbe so katika kila neno lisemwalo kuna ujumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…