Dark days 17/03/20...

Nmependa Sana uandishi wako, unavutia kusoma hata story iwe ndefu vipi. Haiboi[emoji4]
 
Niliipenda na kuifuatilia sana but kutokana na ujuzi mdogo wa kuifuatilia inapotoka, nimekuwa nakutana na maelezo kuwa imepigwa panga.

Ninakuomba tafadhali unisaidie kwa kunitumia pm. Niko tayari kugharimia bando na popcorn kidogo. Tafadhali nisaidie boss wangu.
 
Mh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…