Dark days 17/03/20...

UMEANDIKA UTUMBO
 
Wote hao sasa ni marehemu hapo kwenye wanzuki alipanunua mmiliki wa bus za zakaria air bus
Napamis Sana mitaa ya dairy pale KWA waarabu,karibu na stendi ya zamani,kina Mama wakiuza maziwa fresh asubuhi!!

Power Mabula na mazingaombwe yake ya panga kukata kichwa na kukaa kwenye Boneti la gari!!

Ilikuwa raha Sana AISEH!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…