Asante sana kumkubali jpm,kiukweli nnaumia sana,kufariki huyu mwamba kumbe sio pekeyangu!Anapendwa kuliko hata wewe ulie hai.
Ukitaku kujua anapendwa kiasi gani, waweke picha yake igombee urais afu hiyo picha igombee na kiongozi yeyote aliye hai ambae wewe unampenda kuliko jpm siku hiyo utajificha shimoni.
Kweli kabisa halafu wnaajiita wenye akili.Sasa wapumbavu, majizi mafisadi majambazi na vyeti feki mnaanzaje mpenda jpm? Kwendraaaaa
[emoji1787][emoji1787]Huyu ndio wale Mbwa ya kp, waliopo nchini
Ni hao wanyarwanda wala sio Sisi watanzaniaHuu utaratibu wa kupost vilugaluga sijui umetoka wapi
Mungu nisaidie kinyarwanda iki.Imana ni nziza
Mwidiwese.....ulimoMwidiweeeee
Mwidiwe neza mchuti?Mwidiweeeee
UrakozeeeMwidiwese.....ulimo
Nyegera waituUrakozeee
Ntungulu ugweAbanyamadini bamwe na bamwe bakunda gusubiramo aya magambo avuga ngo “Imana ni nziza.”
Lawama kama zote kwa born town.Jamaa wa ikulu kanipuna hela yangu [emoji34][emoji34]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa wa ikulu kanipuna hela yangu [emoji34][emoji34]
Ndo wanaouendesha..Huu uzi umevamiwa na Wanyarwanda