Mwl Athumani Ramadhani
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,280
- 2,522
Suit ya nini Mkuu!?unaoa!?Karibu Namanyere huku napita njia ya mkato kwenda Kazuramimba kuandaa suit
Eeeh kulingana na sauti za Yohana kule Nyikani nasikia akisema ajae atakuja na SGR ya mchongoSuit ya nini Mkuu!?unaoa!?
Yaani kauli za hawa wazee zinatia shaka sana. JK alisema mambo yakiwa kama ilivyo sasa, je maana yake nini? Je kuna mtu kaandaliwa kwa sababu Rais Samia watu kwa sasa hawampendi na wanajua? Akaja Makamba akamaliza kabisa eti Rais Samia akifa Mwenyezi Mungu ataleta mgombe mzuri mwingine. Ila mi Rais Samia pamoja na ulegevu wake kwenye kusimamia Rasimali za nchi ila bora tuendelee naye anayo nafasi ya kujirekebisha kuliko kuanza na mtu mwingine.Kwa nini mzee February amesema kuwa ikitokea 2025 mama samia akiwa hayupo? Ataenda wapi? Inamaana anamuombea mabaya? Na anaona nini au emekiona nini huko mbele ::mambo ninmengi sana :inaelezwa kwenye politics hakuna neno linalotoka kwenye publicity by mistake: ngoja tuone [mention]yoga [/mention] atupe njia kidogo hapa
Yaani mpaka sasa wanajua kabisa Rais Samia keshaharibikiwa, hakuna anayetamani huku mitaani kusikia jina la Rais Samia, na ndiyo maana wazee wamemuonya kishikaji mpaka kumtabiria kifo. Rais Samia angekuwa na uwezo wa kutembelea JF na kusoma nyuzi zetu naamini Makamba asingekuwa waziri, Nape angekuwa keshafukuza na Mwigulu angekuwa Jela na mambo yake Rais Samia yangekuwa bomba. Ila sasa sijui hilo baraza litakuwaje, hatujui kama ata recycle walewale. Natamani kuona kabisa Nape, January na Mwigulu awatoe baraza la Mawaziri, ateue watu makini kwenye hizo nafasi tena wawe na historical background ya utendaji mzuri.Hiuo kauli ya kikwete sasa ndo imeonesha nani ni rais wa Tz.
"... labda kama mambo yataharibika sana kati ya sasa na wakati huo, 2025......."
Ina mambo kuna mambo yameharibika na yanaendelea kuharibika.
Yasipoharibika sana, ataendelea kuwa rais na yakiharibika sana, urais ndo basi.
Hana uwezo wa kuwatoa hao vijana watatu kwa mpigo.Yaani mpaka sasa wanajua kabisa Rais Samia keshaharibikiwa, hakuna anayetamani huku mitaani kusikia jina la Rais Samia, na ndiyo maana wazee wamemuonya kishikaji mpaka kumtabiria kifo. Rais Samia angekuwa na uwezo wa kutembelea JF na kusoma nyuzi zetu naamini Makamba asingekuwa waziri, Nape angekuwa keshafukuza na Mwigulu angekuwa Jela na mambo yake Rais Samia yangekuwa bomba. Ila sasa sijui hilo baraza litakuwaje, hatujui kama ata recycle walewale. Natamani kuona kabisa Nape, January na Mwigulu awatoe baraza la Mawaziri, ateue watu makini kwenye hizo nafasi tena wawe na historical background ya utendaji mzuri.
Mbona wameshatoka mkuu au hujuiHana uwezo wa kuwatoa hao vijana watatu kwa mpigo.
Hao watu ndio wanamchafua? Una uhakika wakitolewa hao "hali" itakuwa kama hivyo unavyofikiria? Je hao "wazee" wanapendelea "hali" ipi?Yaani mpaka sasa wanajua kabisa Rais Samia keshaharibikiwa, hakuna anayetamani huku mitaani kusikia jina la Rais Samia, na ndiyo maana wazee wamemuonya kishikaji mpaka kumtabiria kifo. Rais Samia angekuwa na uwezo wa kutembelea JF na kusoma nyuzi zetu naamini Makamba asingekuwa waziri, Nape angekuwa keshafukuza na Mwigulu angekuwa Jela na mambo yake Rais Samia yangekuwa bomba. Ila sasa sijui hilo baraza litakuwaje, hatujui kama ata recycle walewale. Natamani kuona kabisa Nape, January na Mwigulu awatoe baraza la Mawaziri, ateue watu makini kwenye hizo nafasi tena wawe na historical background ya utendaji mzuri.
Sasa hivi wamewekwa akina nani mkuu?Mbona wameshatoka mkuu au hujui
Wametokaje?fafanuaMbona wameshatoka mkuu au hujui
Kwamba Mzee wa Uchuro ameshamaliza KAZI sio!!Karibu Namanyere huku napita njia ya mkato kwenda Kazuramimba kuandaa suit
BlackKwamba Mzee wa Uchuro ameshamaliza KAZI sio!!
Suit hiyo ni Red in color?
Unaweza usione waliowekwa ila hakuna watu hapo wapo pembeni tena sanaSasa hivi wamewekwa akina nani mkuu?
Ndio siwaoni, hao watu wapo pembeni ni akina nani mkuu?Unaweza usione waliowekwa ila hakuna watu hapo wapo pembeni tena sana
Wabongo bana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Duh wewe unajitambua kweli?
Subiri mda ufikeNdio siwaoni, hao watu wapo pembeni ni akina nani mkuu?
Muda wa asiri au muda utakao amua wewe mkuu?Subiri mda ufike
Ukiangalia kea MAKINI kabisa matokeo ya kumi BORA! Ya UNECKwamba Mzee wa Uchuro ameshamaliza KAZI sio!!
Suit hiyo ni Red in color?
"Sio kama nawazuia"
Kwann wamcontrol hali ya kuwa wamemtumaMaybe she/he is under control!
Au anasuburi wakati sahihi ufike!