[emoji3060]msamehe bure
Yoga naomba nikuulize, what is your hobby?[emoji3060]msamehe bure
Hivi ahadi yako ulisema ni mwezi huu tarehe ngapi vileee! [emoji848][emoji3060]msamehe bure
Nimeweka alarm, tarehe 20 Machi 2023.Hivi ahadi yako ulisema ni mwezi huu tarehe ngapi vileee! [emoji848]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Weeeeeee, kausha usiharibu mambo, pia wakemee wale wanaotaja taja majina. Yoga kasema hii ni hadithi tu.
Bado siku 12 kama mambo hayatobadilika.
Ya jf magumu. Anaweza kuwa anakutana na yoga kila mara, ila hamjui kama ndiye.[emoji3060]msamehe bure
Mimi kuna binti nimemla juzi kati hapa, ila zile swaga na sauti nadhani ni Yoga kabisa!!Ya jf magumu. Anaweza kuwa anakutana na yoga kila mara, ila hamjui kama ndiye.
Kuna siku niliwahi niliwahi kumwulizia kiongozi wa taasisi fulani. Kwa kutojua kumbe ninayemwuliza ndiye mhusika.
Hizi za kwenye sarawili (kwa hisani ya kitabu cha Ngoswe) kabisa.Akili zwapi hizi jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Yoga samahan naomba unijibu swali nililokuuliza.Akili zwapi hizi jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Napenda kula vizuri my dear, [emoji3060][emoji3060]Yoga samahan naomba unijibu swali nililokuuliza.
Natanguliza shukrani na Amani ya bwana iwe pamoja nawe Daima.
Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
Uko sahihi sana mkuu,huwezi kuiona nchi njema kama sio mlamba asali.TANZANIA njema ya kiaje?walamba asali Tanzania njema ndiyo hii tuliyonayo Sasa.
Kwako wewe pia itakuwa njema mpaka umuone mjomba ako kawa waziri?
Kuiona nchi njema ni lazima uwe mlamba asali,tofauti na hapo zitasikika lawama tuuu
Nikweli huyu yoga iku-think critically kama wasemavyo sijui dip atate ngumu ku-eliminate fikira zakua ni MAnge kimavi!!!naungana nawengi wanaowaza hivi.It make sense the day amefungiwa account yake instagram same time mwandishi wa riwaya akapotea jamvini. Jana karudi online na kuingia live instagram the same day mwandishi wa riwaya pia amerudi jamvini. Anyway just connecting dots.
Bhangi ya chuga inafanya kazi.Akili zwapi hizi jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Thanks for your good answer [emoji8].Napenda kula vizuri my dear, [emoji3060][emoji3060]
πππππππUsikute huyu mama ndie yoga mwenyewe maana anajua kila kitu si kwaadui si kwa steering, huyu ni yeye wallah
Napenda kula vizuri my dear, [emoji3060][emoji3060]
Bado siku 9 yogaUnaweza mpenda mzee mwenzio [emoji23][emoji23][emoji23]