Dark days 17/03/20...

Kaka Toka lini mchele kuuzwa elf Moja nchii hi Tena mchele supa kutoka kyela

Labda mchele wa 1000 Ni ule wa vitumbua mkuu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Alooo... Weka mbali na watoto [emoji91]

Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
 
2025 huyu mpemba aushike tena usukani, kule Tumia akili anakwambia mwaka huu (2023) lazima apatikane dereva mpya atakaye endesha miaka 12.

Mambo ni matamu sana.
MKUU

Nadhani plan imebadilika,inawezeiana lile lilikuwa onyo tu kama maombi ya state hayatotekelezwa ipasavyo,yaani yale aliyopewa ya March 31,2021 yaani"operation imesitishwa the state wamesema apewe muda"!

Labda coz sioni dalili ya HAYO kutokea kabisa!(muono binafsi)

Tusubiri!
 
Kudos Yoga, mtindo wa simulizi yako upo poa sana, haijalishi kitu chochote kile kuhusu lugha ya Kizungu iliyotumika, kinachojalisha ni maudhui mwanana yaliyopo ndani ya simulizi yako nzuri.

Kwa sisi Wabongo hajalishi kitu pale mtu anapokosea sarufi za lugha ya Malkia, kwa kuwa ni ngeni kwetu sote. Hata Wazungu nao wanashida kubwa katika sarufi ya lugha yetu nzuri ya Kiswahili.
 
2025 huyu mpemba aushike tena usukani, kule Tumia akili anakwambia mwaka huu (2023) lazima apatikane dereva mpya atakaye endesha miaka 12.

Mambo ni matamu sana.
Nataman nisome andiko la Tumia akili mkuu. Tupia link humu tupitie mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…