zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Mnaoamini hii propaganda huwa nawashangaa sana, yaani mtu akatae umeme Ili auze majenereta? Hivi hao mafisadi si ndio wanamiliki viwanda vikubwa eti kweli akate umeme uathiri uzalishaji wa mabilioni kwa ajili ya kuuza majenereta ya million kadhaa?Sio kwamba wanakuzoesha idea kuwa umeme utakatika kila siku so ununue jenereta ili shughuli zako ziende.....
Yeap COVID 19Daaah.
Mahiga kafa
Kijazi kafa
Magu kafa
Self kafa
..hapa..kuna..jambo.. tena ..jambo kweli kweli
Covid wapi. Hao wengine walikuwa wanasafisha njia kwa ajili ya mwamba kutolewa.Yeap COVID 19
Hilo linawezekana.Mnaoamini hii propaganda huwa nawashangaa sana, yaani mtu akatae umeme Ili auze majenereta? Hivi hao mafisadi si ndio wanamiliki viwanda vikubwa eti kweli akate umeme uathiri uzalishaji wa mabilioni kwa ajili ya kuuza majenereta ya million kadhaa?
Duh no wonder ulikua mfuasi wa Jiwe, brainwashed mindset.
Sio kweli, Mzee wangu na board members wenzie waliponea ICU kipindi hiko hiko wanachokufa viongozi wa serikali. Sasa JPM alikua na shida ya moyo miaka mingi so kupata COVID 19 ilikua ndio last blow.Covid wapi. Hao wengine walikuwa wanasafisha njia kwa ajili ya mwamba kutolewa.
Propaganda tu, mbona Saudi Arabia inanunua silaha za matrilioni kutoka USA Kwani Kuna vita saudia? In fact nchi nyingi zinanunua silaha wakati wa Amani maana vita ikianza hazina pesa mfano Ukraine silaha zote inapewa kama msaada tu haiuziwi maana Haina pesa Sasa unadhani US anafaidika Nini kimauzo ya silaha? Nachojua hizo vita ni kupata power tu sio fedha Wala Nini.Kama baadhi ya mataifa makubwa yanaanzisha vita katika nchi nyingine ili wananchi wao na makampuni ya nchi zao waweze kufanya baishara ya silaha
Kwamba wanataka tukose umeme watuuzie solar? Kwani Tanzania haya magari, chuma za SGR, Laptops na Simu zinatengenezwa nchini? Kila mwaka matrillion yananunua bidhaa na huduma kutoka kwa mabeberu hata gesi tu tunauziwa na mabeberu kwani wanahitaji mpaka vita au mgao ndio tununue bidhaa zao? Embu niambie hata bila mgao au vita miaka yote ya JPM Kuna bidhaa Gani ambayo hatujaagiza nje? Ngano tu tunanunua Ukraine, mafuta Saudia hivi mpaka hapo wanahitaji vita ndio watuuzie ngano??Hilo linawezekana.
Deep informal alielewa his assignmen well! Alijua jinsi the big boss anapendwa kutukuzwa so he ensured that kumtukuza is done 100 %[emoji1]
So kulikuwa na meeting kati ya the new boss na the old old boss, hii meeting ilikuwa inahusu tender ya invester mmoja mgeni toka west africa kutumia moja ya plots za kampuni kuwekeza kwenye kampuni kama bond ya uwekezaji wake!
This man from west africa alikuja alone with his private jet na assistant wake mmoja tu kunegotiate the deal! Aliitaka hii plot since iko sehem mzuri na inapotential kwa biashara yake ya saruji [emoji23]
Hii plot ili wahi kuchukuliwa na CEO wa 2010 - 2015 kutoka kwa CEO wa 2000 - 2005 tena in bard terms! So the meeting ilikuwa kwanza kurudisha ownership ya plot hiyo kwa the old CEO wa 2000 - 2005 then yeye ndio asign deal na tajiri from west africa kitu kilicho mkera sana the CEO of 2010 to 2015! Maana plot hiyo aliifanya kama yake!
So wakati meeting preparation zinaendelea our deep informal kumbuka yeye ndio planner wa event yote pale headqutors! Alichofanya katika zile protocal za kupokea wageni moja ya askari aliwekwa ndani specific kuhakikisha when The old CEO atakapo fika headquators basi anatimiza wajib wake
Huyu askari alikuwa na kitu inaitwa polonium 210, hii kitu huwa inatiwa kidogo tu kwenye chai, water or juice na always humuondoa mtu in between 25 to 30 days since amepewa! The guy anderstood the asignment!
The old CEO loved coffee, nahapo ndio nyudo ilipo pigiwa! So wakiwa wanamsubiri tajiri from west africa, agent anatimiza kazi yake. Mkutano baadae unakwenda vizuri, makubaliano yanakamilika na kinachobaki nikutia siganture tu!
Sasa bwana......., the old CEO katoka vizuri headquators six days after the meeting akaanza kutokujiskia vizuri[emoji22] akampigia simu kijana wake kumwambia toka ametoka hapo makao makuu he was not fine!! Kijana akaamua kumpeleka hospitali for full check up.
The doctor alifanya checkup was one of the secret agent kwenye cycle ya CEO wa 2010 - 2015 dawa za hapa na pale kuchengesha muda tuuuuuu, stage two hiyoooo ikaingia things got sereous, after 16 days he was no more![emoji22]
One man down ......one man down........... I repeat one man down........... !!!!!
New boss could not suspect enything since tukio limechezwa kwake na anapaamini 100% so he trusted doctors reports kumbe something big was on the way!!
Kwenye target board one mtoa kibri kwa our new CEO has gone! few to come!! These guys bana walikua sereous na jambo lao [emoji23][emoji23][emoji23]
New boss kwakuwa aliyemtoka ni mentour wake, na alisha kuwa CEO wa kampuni kama yeye, so alitaka mazishi makubwa, mazuri na ya heshima kumuenzi boss wake wazamani! So he called the his planner, kumbuka planner ndio deep informal!
After the successfullnes of the first mission now comes the second mission!!
Ukiskia kuuna ndege wawili au zaidi kwa jiwe moja ndio hii sasa!
Deep infomal akachora ramani zoote za remained target watako fika mazishini nyumbani kwa the late CEO. Ramani ikatua kwa the KING MAKER, vijana waka kaaa na kusuka the whole plan!
Targets kweli wakaenda ispokuwa mmoja tu. kilicho wakuta huko hao wengine no one noticed, baada ya kurudi, mmoja baada ya mwingine nikurudisha jezi kwa kipa[emoji23][emoji23][emoji23]
Now the new boss felt something un usual was goin on!! But it was tooooooooo late![emoji2957][emoji22]
Kashtuka he is alone,
Unamjua aliye baki? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].......
Nakuja..... Nalala kwanza ........
Upunguzage ujuajiSio kweli, Mzee wangu na board members wenzie waliponea ICU kipindi hiko hiko wanachokufa viongozi wa serikali. Sasa JPM alikua na shida ya moyo miaka mingi so kupata COVID 19 ilikua ndio last blow.
Kumuua Rais sio kitu kirahisi kama unavyodhani. Hata mnapopanga mauaji Kuna mmoja ni mtu wa mfumo atavujisha tu. So tusiwe wepesi kuamini rumors.
We ndio mjuaji, serikali ilishasema alikufa kwa hitilafu ya moyo wewe unaleta story za vijiweni nani ndio mjuaji Sasa?Upunguzage ujuaji
kuna point unaongea zipo vzuri san but never trust mtu anaitwa mwanasiasa, tunakua manipulated kila siku na inafikia sehem unashindwa kujua kipi n sahihiWe ndio mjuaji, serikali ilishasema alikufa kwa hitilafu ya moyo wewe unaleta story za vijiweni nani ndio mjuaji Sasa?
We ndio mjuaji, serikali ilishasema alikufa kwa hitilafu ya moyo wewe unaleta story za vijiweni nani ndio mjuaji Sasa?
Mbona JPM alipelekwa JKCI kabla ya Mzena kamuulize dokta yoyote pale JKCI sababu ya JPM kufariki ni Nini, mbona inafahamika randomly tu kuwa alikua na shida ya moyo na alikua na pacemaker. Sasa why mtu wa hivyo ionekane kauwawa wakati wote mnafahamu alikua na matatizo ya afya? Kampeni tu alishindwa kufanya tukawa tunasema Rais hayupo fiti hamkuona ajabu ila miezi 7 baadae ndio kauwawa?? Hampo serious.Hivi mkuu kwa akili tu ya kunywa maji, unaweza fikiri serikali ingesema ndio aliuwawa kwa sababu moja mbili tatu?
Dah.!
Alisema samurai vibwengo wapo gizani.
Mwamba unayemsema yeye ndiye aliyeanza uchokozi... Yeye alipanga Ufalme uongezwe zaidi ya 2025...Covid wapi. Hao wengine walikuwa wanasafisha njia kwa ajili ya mwamba kutolewa.
Hakuna kitu kama hicho, hayo mambo ya kujiongezea muda yalipigiwa chapuo na watu waliokuwa na agenda ya kumchafua ili aonekane alikuwa na tamaa ya madaraka lakini naamini asingeongeza hata sekunde moja ya utawala.Mwamba unayemsema yeye ndiye aliyeanza uchokozi... Yeye alipanga Ufalme uongezwe zaidi ya 2025...
Akacheza rafu kwa CEO mwenzake wa awamu ya tatu... Ili kusiwe na kelele ya agenda yake pale mjengoni....
...wanasema malipo ni hapa hapa
Akili kubwa, nimeipenda.Hakuna kitu kama hicho, hayo mambo ya kujiongezea muda yalipigiwa chapuo na watu waliokuwa na agenda ya kumchafua ili aonekane alikuwa na tamaa ya madaraka lakini naamini asingeongeza hata sekunde moja ya utawala.
Nakuhusu third CEO waliomuondoa ni walewale ili kupunguza nguvu za kufuatilia nini kimetokea iwapo wangemuua na kumuacha mzee wa kusini. Kila aliyeonekana atakuwa kikwazo baadaye walihakikisha anaondoka hasa wenye madhara.
Mwamba mambo mengi sana alipandikiziwa ili aonekane hafai, ndiyo maana hata sasa udhaifu wa new CEO unafichwa kwa kumchafua JPM.
Ila tukiondoa madhaifu machache ya kibinadamu Magu alikuwa analipenda sana taifa lake, ila kwa kuwa watu wapo kazini kumchafua atachafuliwa sana mitandaoni lakini ukiutaka ukweli anasemwaje ingia uraiani ndiyo utajua nguvu ya mwamba.
Pamoja na maelezo yako nisemee tu jambo moja kuwa. Ni kweli huwezi kumuua rais kirahisi lakini kama system ikiamua kumpoteza ni dakika chache sana unasahaulika.Mbona JPM alipelekwa JKCI kabla ya Mzena kamuulize dokta yoyote pale JKCI sababu ya JPM kufariki ni Nini, mbona inafahamika randomly tu kuwa alikua na shida ya moyo na alikua na pacemaker. Sasa why mtu wa hivyo ionekane kauwawa wakati wote mnafahamu alikua na matatizo ya afya? Kampeni tu alishindwa kufanya tukawa tunasema Rais hayupo fiti hamkuona ajabu ila miezi 7 baadae ndio kauwawa?? Hampo serious.
Kingine sio serikali tu media za Kenya zilishaanza kuhoji afya ya JPM kipindi ambacho huku Tanzania hata serikali ilikua kimya. Media zilisema ka paralyse upande mmoja n.k hakuna rumour yoyote iloyosema kapigwa sumu au kauwawa zote zilionyesha ni tatizo la moyo. Kumbuka muda huo Tanzania wafuasi wa JPM mlikua busy kutukana wapinzani kwa kuhoji afya ya JPM. Cha kuchekesha amekufa ndio mmekua wakali kuhusu kifo chake??
Huwezi kumuua Rais kirahisi hivyo, especially kwa JPM aliyekua anajihami kiasi kile.
ulisoma shule ya msingi Msenge kule Singida?Mbona JPM alipelekwa JKCI kabla ya Mzena kamuulize dokta yoyote pale JKCI sababu ya JPM kufariki ni Nini, mbona inafahamika randomly tu kuwa alikua na shida ya moyo na alikua na pacemaker. Sasa why mtu wa hivyo ionekane kauwawa wakati wote mnafahamu alikua na matatizo ya afya? Kampeni tu alishindwa kufanya tukawa tunasema Rais hayupo fiti hamkuona ajabu ila miezi 7 baadae ndio kauwawa?? Hampo serious.
Kingine sio serikali tu media za Kenya zilishaanza kuhoji afya ya JPM kipindi ambacho huku Tanzania hata serikali ilikua kimya. Media zilisema ka paralyse upande mmoja n.k hakuna rumour yoyote iloyosema kapigwa sumu au kauwawa zote zilionyesha ni tatizo la moyo. Kumbuka muda huo Tanzania wafuasi wa JPM mlikua busy kutukana wapinzani kwa kuhoji afya ya JPM. Cha kuchekesha amekufa ndio mmekua wakali kuhusu kifo chake??
Huwezi kumuua Rais kirahisi hivyo, especially kwa JPM aliyekua anajihami kiasi kile.
Sawa mwanafunzi wa shule ya msingi msengeSio kweli, Mzee wangu na board members wenzie waliponea ICU kipindi hiko hiko wanachokufa viongozi wa serikali. Sasa JPM alikua na shida ya moyo miaka mingi so kupata COVID 19 ilikua ndio last blow.
Kumuua Rais sio kitu kirahisi kama unavyodhani. Hata mnapopanga mauaji Kuna mmoja ni mtu wa mfumo atavujisha tu. So tusiwe wepesi kuamini rumors.