Dark days 17/03/20...

[emoji848] ongezea ongezea mkuu!
Mapenzi upofu. Tamko la mkiandamana mtapigwa tu ilikuwa utawala gani?

Ni wakati gani magwepande ilipata umaarufu?

Watu kwenye viloba wakufahamika ni wa wapi? Were they Tanzanians?

Tuwe wakweli, bt nchi mali yake. Alifanya na anafanya atakavyo na sasa anatamka hadharani kuwa rais ajaye ni Samia, labda mambo yakiharibika sana kati ya sasa na wakati huo. Mambo gani?
 
Heshima yako mbunge
 
Wanacheza draft na panga pangua, sijui protocal inawatakaje ila kuhusu 25 bado kuna mziki au ndio wanasafisha wasumbufu!!?
 
MISS PABLO
haya ukuje haraka hapa ujibu hizi nondo hapa ..
ndio maana nilikuuliza hapo juu

(so why una mponda the late CEO .....)
 
mkuu mbona mna muhusisha PK tena ndani ya kampuni ...kwanini ?
anahusika vipi jazia steki mkuu ...
 
Aliitoa hiyo kauli lini?
 
mkuu mbona mna muhusisha PK tena ndani ya kampuni ...kwanini ?
anahusika vipi jazia steki mkuu ...

Mkuu huyo pk kuna sehemu ya kampuni mpakani huko BKB, alishawahi kuingiza watu wake kwa nguvu kufanya kilimo huko(hili liliwahi andikiwa uzi humu kuhusu hili na wenyeji wa huko walitoa ushihuda).

Kuna vita kati yake na BT ikiwemo BT kulinda maslahi ya kampuni ambayo PK anaitaka ardhi hiyo kufanyia uwekezaji. Sasa BT kipindi cha utawala wake hawakukubaliana na hili. Iliwahi kusemwa humu JF, BT alimtumia jasusi PK mpaka jumba jeupe la PK pasipo kujulikana na hapo PK kwa BT, akaufyata.

Wewe uingiliwe mpaka chumbani kwako ambapo unaamini pana ulinzi mkali ila mwamba kampenyeza jasusi wake mpka kwako unnoticed.

Unaona enzi za late CEO, kulikuwa na fununu Pk kapenyeza watu wake hadi jumba jeupe? Yes ni harakati za late CEO kumbana BT kutumia msaada wa Pk maana alijuwa Pk hawapatani na BT, so aliongeza nguvu ili kumu eliminate BT. Ndio hivyo BT akawazidi kete akamuwahi.


Binafsi naamini kuna mahali wanaingiliana kimaslahi ndani ya kampuni kiasi cha Pk kufanya awezalo kumdondosha BT. Pk kwa BT anaujua mziki wake vizuuuuri ndio maana anajaribu kutumia ma CEO watakaoonesha kukinzana na BT.

Hivi ndivyo mambo yao yanavyo kwenda kati ya BT & PK, kwa uchache na taarifa tulizojikusanyia.
 
Hiyo ilinipita nikiwa naandaa wali wa wateja wangu mi mama ntilie
 
duhh sawa mkuu nimepata picha .....kwa hiyo kumbe PK siyo wa kumpuuza ni wa kuwa nae siriaz ...
 

hii sasa ni chai tena isiyo na sukari
 
Halo BT tumpe maua yake ujue PAKA angechekewa angeanza kutusumbua sumbua ka vile anavoisumbua Bukavu hakutawaliki
 
I think kilichomuweka na kuishi long time Mzee fursa Kwa wote ni tabia ya kuwa kimya na kutoingilia awamu za watu Huwa yuko mbali, hata hyo ya marope nadhani ilikuwa kujionyesha hayuko nao pia Kwa ajili ya mwanawe.
Kilichoondoa ex CEO wa company hii ni kiherehere chao kuingilia yasiyo wahusu ka mchonga, na Mzee wa malofa
 
Hapa ndo namkubali BT, alimbana muhuni PK kule poli la Kimisi, Biharamuro na poli la Kibondo akawa na adabu. Lakini tukubali pamoja na mambo mengine heri ya BT ametuepusha na mpango wa HIMA EMPIRE pia, tungekoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…