Mkuu huyo pk kuna sehemu ya kampuni mpakani huko BKB, alishawahi kuingiza watu wake kwa nguvu kufanya kilimo huko(hili liliwahi andikiwa uzi humu kuhusu hili na wenyeji wa huko walitoa ushihuda).
Kuna vita kati yake na BT ikiwemo BT kulinda maslahi ya kampuni ambayo PK anaitaka ardhi hiyo kufanyia uwekezaji. Sasa BT kipindi cha utawala wake hawakukubaliana na hili. Iliwahi kusemwa humu JF, BT alimtumia jasusi PK mpaka jumba jeupe la PK pasipo kujulikana na hapo PK kwa BT, akaufyata.
Wewe uingiliwe mpaka chumbani kwako ambapo unaamini pana ulinzi mkali ila mwamba kampenyeza jasusi wake mpka kwako unnoticed.
Unaona enzi za late CEO, kulikuwa na fununu Pk kapenyeza watu wake hadi jumba jeupe? Yes ni harakati za late CEO kumbana BT kutumia msaada wa Pk maana alijuwa Pk hawapatani na BT, so aliongeza nguvu ili kumu eliminate BT. Ndio hivyo BT akawazidi kete akamuwahi.
Binafsi naamini kuna mahali wanaingiliana kimaslahi ndani ya kampuni kiasi cha Pk kufanya awezalo kumdondosha BT. Pk kwa BT anaujua mziki wake vizuuuuri ndio maana anajaribu kutumia ma CEO watakaoonesha kukinzana na BT.
Hivi ndivyo mambo yao yanavyo kwenda kati ya BT & PK, kwa uchache na taarifa tulizojikusanyia.